Wizara ya kilimo: Maboresho ya sera ya Taifa ya kilimo ya mwaka 2013

Ayubu Massau

Member
Apr 24, 2015
16
43
Wizara ya kilimo kupitia ofisi ya katibu mkuu walitoa taarifa kwa umma tarehe 4/6/2019 kuhusu kufanya maboresho katika Sera ya kilimo ya taifa ya mwaka 2013 na mwisho wa kukusanya mchango ni tarehe 30/6/2019. Hivyo na waasa wadau na watanzania ambao wanapenda kutoa mchango wao katika maboresho ya sera hiyo waingie website ya wizara ya kilimo(www.kilimo.go.tz) wapakue(downloads) nyaraka mbili ambazo ni tangazo kwa umma, pia sera ya kilimo ya taifa ya mwaka 2013.Kwa kufanya hivyo utapata mwongozo wa kukuwezesha kutoa mchango katika maboresho ya sera hiyo.Wakati ni huu, tutoe michango yetu

Binafsi nimetoa mchango wangu ambao , naambatanisha nakala yake hapo chini
 
Attachments

  • WIZARA YA KILIMO- 2019.pdf
    347.2 KB · Views: 52

Asante naipitia na nitatoa comments zangu nimeona kuna mapungufu
 
Back
Top Bottom