Recent content by Ayubu Kivambiro

  1. A

    JamiiForums Tanzania UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

    Taarifa zilizopo kwa watumishi mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na wanafunzi wa chuo hicho ni kuwa limetolewa "agizo kutoka juu" kuwa matokeo ya uchaguzi wa rais wa serikali ya wanafunzi yafutwe kwasababu mgombea aliyeshinda "ni mtu hatari" Katika kutekeleza jambo hilo, tayari zoezi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo

    Mradi huo wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake Afrika Mashariki na Kati, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani bilioni 10. Afrika Mashariki Na Kati...Kuna Bandari gani Afrika ya Kati?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli amshinda Lowassa umaarufu kimataifa!

    lowassa ana likes zaidi ya laki 4 na akaunti yake imeshakuwa verified. Wewe ni zumbukuku kweli ingia hapa uone https://www.facebook.com/EdwardLowassaTZ?fref=ts
  4. A

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
  5. A

    JamiiForums Tanzania TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    Ni UKAWA au kamati ya Bunge na CAG na taarifa za Kibenki?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Dk. Magufuli ashauriane kwanza na mama Janeth kabla ya kuanza kuinadi ilani ya CCM

    Ikiwa imesalia wiki moja kabla ya wagombea wa vyama vya siasa kuanza kunadi ahadi binafsi, sera za vyama vyao na ilani za uchaguzi za vyama vyao tayari suala la kila mwalimu Tanzania kununuliwa kompyuta mpakato(laptop) lililomo kwenye ilani ya chama cha mapinduzi limeanza kugonga vichwa vya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Humprey Polepole naye amefikiri pole pole sana(slow thinker). Unaposema msingi wako ni katiba halafu ukatangaza kuwa unawapinga wale wenye msimamo sawa na wako kwa kuwa tu kuna mtu ambaye (zamani) alikuwa na msimamo kinyume na nyie ameingia ni kukosa Logic. Magufuli na Lowassa wote...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Namfananisha Lowassa na Uhuru Kenyatta wa Kenya

    Unajifanya unamjuuuuua Uhuru. Unataka kutoa historia yake ili uonekane unamfahamu sana. Hongera
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hongera vijana wa CHASO UDSM kwa kusaidia kutolewa kwa fedha za boom

    Jumatatu ya wiki hii inayomalizika Rais wa Daruso Kitaponda Ahadi alitangaza kuwepo kwa utaratibu wa utawala wa Chuo kikuu cha UDSM kuwakopesha wanafunzi wote 6100 ambao walikuwa hawajapata fedha zao za kujikimu. Utaratibu uliotangazwa na Rais huyo wa Daruso ilikuwa ni kwamba wanafunzi hao...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Iran says they will destroy Tel Aviv in 10 minutes

    Tatizo unaongea kwa hisia na imani za kidini kuliko akili. Na pia unasahau kuwa Israel haiamini katika Mungu namna moja na ninyi wakristo. Unahitaji akili timanu tu kulifahamu hili. Wala sio ufunuo wa roho mtakatifu wala macho ya rohoni.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wizi UDSM si siri tena, ushahidi wapatikana

    ....
  12. A

    JamiiForums Tanzania Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    i second u kujiuzulu tu haitoshi bado uchunguzi uendelee ma akikutwa na hatia basi awajibishwe kisheria
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wakati UDOM wakipambana, Rais "mzigo" UDSM anafukuzisha chuo wenzake...

    Nitashukuru kama utaipumzisha akili yako hadi hapo kesho. Haujibu kilichoandikwa bali hisia zako. Sijasema kuwa serikali haikuleta usumbufu kabisa, ila aina ya usumbufu ulikuwa tofauti, mfano kushindwa kusimamia au kutimiza baadhi ya ahadi za kampeni nk. lakini sio kushitaki wanafunzi kwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wakati UDOM wakipambana, Rais "mzigo" UDSM anafukuzisha chuo wenzake...

    Hivyo ulikuwa hujui, nina imani taarifa umezipata sasa. Mimi simfahamu kwa sura, ila kama ni ndugu yako, mtafute na mzungumze
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wakati UDOM wakipambana, Rais "mzigo" UDSM anafukuzisha chuo wenzake...

    Nilitii kweli kabisa, hili halina shaka. Lakini hakukuwa na ufedhuli wa serikali ya wanafunzi dhidi ya wanafunzi. Nakushangaa unaweka picha ya kijana aliyepoteza tumaini na kuonekana kama unashangilia
Back
Top Bottom