Namfananisha Lowassa na Uhuru Kenyatta wa Kenya

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Uhuru Kenyatta, Huyu jamaa aliitwa Mwizi,Fisadi, mporaji wa rasirimali za umma lakini leo hii ni Mtukufu Rais wa Jamhuri ya watu wa KENYA na anawatumikia waKENYA kwa moyo mmoja.

Kuna uwezekano kabisa pamoja na majina yote anayoitiwa Mh. LOWASSA lakini mwisho wa siku ukingo wa mbio zake utafanana na ule wa KENYATA wa KENYA, maana tukikumbuka hali ilivyokuwa kule DODOMA lazima tukubaliane kwamba LOWASSA uwezo huo anao.

Tutaongea mengi lakini tukubali tusikubali haya yote yanaweza kutokea Tanzania,Nashindwa kabisa kupambanua na kuzitofautisha siasa za LOWASSA na zile za yule UHURU KENYATTA wa KENYA.

Sijui kusema sana yangu macho!
 
Lowasa jembee na lazmaa tumpe support
 
Nathubutu kuuliza ni mafisadi wangapi waliotuhumiwa ikiwa pamoja na ushahidi dhahiri kama Escrow na hawakukubali kuwajibika! Mh. Lowasa tu ndio aliosema imetosha,hata Mwenyezi Mungu huwakubali katika ufalme wake wale wote waliokiri makosa yao.
Mungu akulinde,akupe nguvu Mh.Lowasa,wewe uko mbele sisi tuko mbele kwa mbele mpaka kieleweke!
 
Nathubutu kuuliza ni mafisadi wangapi waliotuhumiwa ikiwa pamoja na ushahidi dhahiri kama Escrow na hawakukubali kuwajibika! Mh. Lowasa tu ndio aliosema imetosha,hata Mwenyezi Mungu huwakubali katika ufalme wake wale wote waliokiri makosa yao.
Mungu akulinde,akupe nguvu Mh.Lowasa,wewe uko mbele sisi tuko mbele kwa mbele!
 
Uhuru Kenyatta, Huyu jamaa aliitwa Mwizi,Fisadi, mporaji wa rasirimali za umma lakini leo hii ni Mtukufu Rais wa Jamhuri ya watu wa KENYA na anawatumikia waKENYA kwa moyo mmoja.

Kuna uwezekano kabisa pamoja na majina yote anayoitiwa Mh. LOWASSA lakini mwisho wa siku ukingo wa mbio zake utafanana na ule wa KENYATA wa KENYA, maana tukikumbuka hali ilivyokuwa kule DODOMA lazima tukubaliane kwamba LOWASSA uwezo huo anao.

Tutaongea mengi lakini tukubali tusikubali haya yote yanaweza kutokea Tanzania,Nashindwa kabisa kupambanua na kuzitofautisha siasa za LOWASSA na zile za yule UHURU KENYATTA wa KENYA.

Sijui kusema sana yangu macho!

Na Uhuru alihama chama chake dakika za mwisho na kisha kujiunga na TNA ndio ukawa mwanzo wake wa ushindi...
 
Unajua ukabila president Uhuru alioutumia kuingia madarakani na kuwageuka wanasiasa wenzake waliomtoa huko marekani alipokuwa anavuta bangi na kulewa kabla ya kufika kileleni.

Kama similarities ziliopo kati ya hawa wawili ni untrustworthy na desperation ya vyama vya siasa vinavyowaitaji kipindi cha uchaguzi, kosa la CCM ni kumuacha Lowassa aendelee kuchukua positive headlines.
 
ikumbukwe huyo uhuru kenyata alishindwa vibaya chaguz ya kwanza na Maiki baki,,,, lowasa katafta kitanzi tu hana lolote
 
uhuru kenyatta, huyu jamaa aliitwa mwizi,fisadi, mporaji wa rasirimali za umma lakini leo hii ni mtukufu rais wa jamhuri ya watu wa kenya na anawatumikia wakenya kwa moyo mmoja.

Kuna uwezekano kabisa pamoja na majina yote anayoitiwa mh. Lowassa lakini mwisho wa siku ukingo wa mbio zake utafanana na ule wa kenyata wa kenya, maana tukikumbuka hali ilivyokuwa kule dodoma lazima tukubaliane kwamba lowassa uwezo huo anao.

Tutaongea mengi lakini tukubali tusikubali haya yote yanaweza kutokea tanzania,nashindwa kabisa kupambanua na kuzitofautisha siasa za lowassa na zile za yule uhuru kenyatta wa kenya.

Sijui kusema sana yangu macho!

acha kumfananisha uhuru kenyata na mambo ya kijinga
 
Unajua ukabila president Uhuru alioutumia kuingia madarakani na kuwageuka wanasiasa wenzake waliomtoa huko marekani alipokuwa anavuta bangi na kulewa kabla ya kufika kileleni.

Kama hu

Kama similarities ziliopo kati ya hawa wawili ni untrustworthy na desperation ya vyama vya siasa vinavyowaitaji kipindi cha uchaguzi, kosa la CCM ni kumuacha Lowassa aendelee kuchukua positive headlines.

Kama huzijui siasa za wengine funga mdomo. Kenyatta ameishi marekani kama mwanafunzi. Kumbuka baba yake alifariki akiwa na miaka 17 na baada ya kumaliza elimu yake ya Chuo kikuu alirudi kuendesha biashara za familia tena kwa ufanisi mkubwa sana.

Miaka ile ya 2000 mwanzoni Daniel Arap Moi akamteu Mwenyekiti wa Bodi kwa vile bwana mdogo alikuwa amefanikiwa sana katika masuala hayo.

Kenyatta pia ukiongea na wakenya wamakabila yote wanakiri hawajawahi kupata Rais mzuri na aliyekaribu na watu Kama Uhuru. Wanakuambia kwa Mara ya kwanza katika taifa lao wameyaona Matunda ya Uhuru.

Pia wanakueleza pia nje ya siasa Uhuru na Rails ni marafiki wakubwa sana.
 
Lowassa kashaibadilisha Chadema.

1. Kabadilisha ratiba yao ya uchaguzi.

2. Kabadilisha mgombea wao. Dr. Slaa anakatwa kwa sababu ya Lowassa.

3. Kabadilisha bajeti yao ya uchaguzi.

4. Kabadilisha kauli zao kuhusu ufisadi.

5. Kabadilisha ilani yao ya uchaguzi.

Sasa tujiulize, nani anayebadili mwenzie? Chadema itambadili Lowassa au Lowassa anaibadili Chadema?

Lowassa yuko kwenye siasa muda mrefu kuliko umri wa Chadema. Kuamini kuwa Lowassa atabadilika ghafla ni kujidanganya kulikopitiliza.

Mpaka sasa Chadema haijabadili chochote kwa Lowassa, yeye ndio anawabadili.

Chadema badala ya kuleta mabadiliko, yenyewe ndio inabadilishwa...
 
Kama huzijui siasa za wengine funga mdomo. Kenyatta ameishi marekani kama mwanafunzi. Kumbuka baba yake alifariki akiwa na miaka 17 na baada ya kumaliza elimu yake ya Chuo kikuu alirudi kuendesha biashara za familia tena kwa ufanisi mkubwa sana.

Miaka ile ya 2000 mwanzoni Daniel Arap Moi akamteu Mwenyekiti wa Bodi kwa vile bwana mdogo alikuwa amefanikiwa sana katika masuala hayo.

Kenyatta pia ukiongea na wakenya wamakabila yote wanakiri hawajawahi kupata Rais mzuri na aliyekaribu na watu Kama Uhuru. Wanakuambia kwa Mara ya kwanza katika taifa lao wameyaona Matunda ya Uhuru.

Pia wanakueleza pia nje ya siasa Uhuru na Rails ni marafiki wakubwa sana.
Haki ya mungu hivi ata unajua Moi alishapambana mara ngapi na Odinga pamoja na kumfunga jela kabisa kwa sababu za siasa za uraisi.

Moi akumpaisha Kenyatta kwa sababu ya uhodari wake, sababu ni za kisiasa zaidi na ukabila ili TANU ibakie madarakani, baada ya kuona Odinga anaungana na Kibaki na Ruto.

Uhuru akuwahi kuwa na ugomvi personal na Odinga aliyekuwa na ugomvi na Odinga ni mwai Kibaki baada ya kukosana kwenye uchaguzi wa mwaka 2007 na kusuluhiswa, na alieyeanzisha ugomvi wa kikabila ni Ruto na Uhuru kujibu mashambulizi. Hawa watu leo ndio viongozi baada ya kuona wanaitwa ICC wakaamua kuungana watafute madaraka ya kubaki Kenya again kupitia ukabila baada ya uhuru kujijengea umaarufu kutoka kwa wa Kikuyu from what happened in 2007.

Hayo ya kujenga umoja ana kila sababu kwa sasa kwakuwa ni raisi na there is no reason to play that card in current politics ngojea ufike uchaguzi ndio utawajua hawa jamaa walivyo ma-opportunists na ukabila ulivyo tatizo Kenya.

Similarities yao na Lowassa ni moja they are 'power mongers' and bad losers.
 
Kama huzijui siasa za wengine funga mdomo. Kenyatta ameishi marekani kama mwanafunzi. Kumbuka baba yake alifariki akiwa na miaka 17 na baada ya kumaliza elimu yake ya Chuo kikuu alirudi kuendesha biashara za familia tena kwa ufanisi mkubwa sana.

Miaka ile ya 2000 mwanzoni Daniel Arap Moi akamteu Mwenyekiti wa Bodi kwa vile bwana mdogo alikuwa amefanikiwa sana katika masuala hayo.

Kenyatta pia ukiongea na wakenya wamakabila yote wanakiri hawajawahi kupata Rais mzuri na aliyekaribu na watu Kama Uhuru. Wanakuambia kwa Mara ya kwanza katika taifa lao wameyaona Matunda ya Uhuru.

Pia wanakueleza pia nje ya siasa Uhuru na Rails ni marafiki wakubwa sana.

Unajifanya unamjuuuuua Uhuru. Unataka kutoa historia yake ili uonekane unamfahamu sana. Hongera
 
Back
Top Bottom