Recent content by Ayoub Idd

  1. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania Rais ndani ya Manispaa ya Morogoro, Shule na maofisi zafungwa

    ni shiiida kweli kweli. watoto ni robo tatu ya hadhira. wanadai wamekuja kuangali taarab na ngoma za asili
  2. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania Walimu wenye diploma wanabaguliwa na wale wenye degree

    ualimu mkuu hausomewi
  3. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania CCM Hoi jimboni kwa Mwigulu Nchemba, Wananchi wazuia msafara wa CHADEMA Njiani...

    viva CHADEMA ! asanteni kwa uhuru wa kweli
  4. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yasambaratisha CCM Iramba Mashariki

    Kwa hali niliyoiona nkungi kwenye mkutano wa CHADEMA lazima tukubali CCM wamekalia kuti kavu.
  5. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akataa kununuliwa ili awasaliti UKAWA na CHADEMA

    dah ! tutakutana mbele. mmeniacha kwenye zebra.
  6. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

    dah ! kizunguzungu
  7. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu UVCCM Aimaliza CHADEMA Singida, Katibu kata Shaban Juma ahamia CCM

    Hakuna mtu anayeitwa shaban juma aliyewahikuwa katibu kata wa CHADEMA. Ni uongo mtupu, nina uhakika hakuna watu hata 10 waliohama kutoka CHADEMA na kwenda CCM huku mkalama. hii habari naibariki kuwa ya udaku halisi.
  8. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania Mtwara:nyumba ya diwani yapigwa mnada yanunuliwa na mbunge

    bangi nibangue nikalipe deni !
  9. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania DC Nawanda amuumbua Mwigulu mbele ya wapiga kura wake

    dah! ila Nawanda ni jembe la ukweli.
  10. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania Kitongoji cha kitumbili ( kata ya iguguno ) , iramba mashariki wote ni chadema kwa sasa.

    ukiwa mjini utaambiwa upinzani hamna vijiji, hiyo sio kweli kabisa. mfano kitongoji cha kitumbili wote mpaka na mabalozi wamehamia CHADEMA kutokana na tatizo la kidemokrasia. walimsimamisha mwenyekiti wao akarudishwa kwa mabavu na wakubwa. wazee wameomba msaada wa kufundishwa kutamka CHADEMA...
  11. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM aunguruma

    yaani kuna vyeo vinanichanganya sana kama mwenyekiti wa wenyeviti, mi nilikuwa najua ni kikwete eti ! ? Kumbe sio ?
  12. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania Abiria afariki dunia akiwa safarini ndani ya basi

    Tuwekee picha na jina lake tafadhali !
  13. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma Bagamoyo Secondary School

    Namkumbuka KASANGA, Naali alinikwamisha kitaaluma. MUNGU ambariki aendelee kunywa pombe sana
  14. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania Muamar Gaddafi alipenda kuvuta, coceine, whisky au pombe kali, na wake na watoto wa marais wenzake.

    Watu wanataka kutuaminisha kwamba wanajua sana mambo ya chumbani ya watu wengine.
  15. Ayoub Idd

    JamiiForums Tanzania CCM kunyakua vijiji vyote nane Iramba Mashariki

    Aliyeandika post hii ni mzushi sijawahi kuona mtu kama huyu: HOJA: 1. Mgongo haipo IRAMBA MASHARIKI 2. MWIGULU hajafanya mkutano IRAMBA MASHARIKI, pia sio mbunge wa IRAMBA MASHARIKI. 3. IRAMBA MASHARIKI hamna uchaguzi wa viti nane. 4. CCM hainyakui viti, inanyakua kwa nani ? CHADEMA ...
Back
Top Bottom