Mkuu mi nilipiga 04-06 ilikuaga noma aisee hist 1 alikua senzighe hist2 haikuaga na mwenyewe mara yule mzungu mara msela mmoja hivi alikuaga usdm alitutufundisha world war ha haa lufingo jog 1....yule mama mkuu wa wilaya hawa ngulume alitupiga bonge ta mkwara ile siku tuliyo andamana na kupigwa paa...
kama umesoma au unasoma bagamoyo secondary school tukutane hapa kujikumbusha ya shule yetu
Mbuzi msela.
mbona wote madogo! sioni zetu ilikuwa akina bilalo ,tibikunda ambao wote wameshafariki achilia mbali mikwajua ya kisanga domo la shaba bob alikuwepo sijui kama hawa watu wapo
magambani.
hahaaa... Nakumbuka siku moja kati ya mwalimu manyama kichwa wa hesabu alizinyuka ngumi na mama masenga. Hahahaaaaaa halafu master alikuwa mazengo mpoleeeee. Kweli walimpa wakati mgumu baba wa watu
namkumbuka kasanga, naali alinikwamisha kitaaluma. Mungu ambariki aendelee kunywa pombe sana
kama umesoma au unasoma bagamoyo secondary school tukutane hapa kujikumbusha ya shule yetu
mnamkumbuka kitungwa?
jamaa alishatangulia mbele ya haki
Umenikumbusha mbali sana mzungu kila akiingia anaanza na WW 2 anachora raman ya ulaya na Norway kwisha kaz.. Siwez kumsahau Mtu pori R.I.P a week before final alitutoka.. wap salamanda, sheby d, HGL