Walimu wenye diploma wanabaguliwa na wale wenye degree

Walimu wenye diploma wanabaguliwa na wale wenye degree

daaaah ila matatizo yapo sana kwenye hizi ofisi aiseeeeh..... me ni mwalimu nimepangiwa Mbulu, Manyara walimu huku tunapata shida sana maana walimu wenyeji ni kilugha (kiiraq) mwanzo mwisho, halafu wanajitenga sana wao kwa wao... hii jamii ni ya ajabu sana unaweza kukuta wanaume wazima wakubwa wanaongea umbea dhidi ya mwalimu wa kuja na walimu wenyeji wanasapoti.... unamkamata mwanafunzi ana kosa unamleta ofisini walimu wanaanza kumuongelesha kilugha.... daaah kufanya kazi sehemu nyingine ni shida sana wadau......
 
yaani anayetaka kuja huku Mbulu aje aiseeeh aone.... kwanza asilimia kubwa ya walimu ni wa hukuhuku, halafu hawa jamaa wambulu hata kama ni muiraq mwenzao ila umetokea karatu, au babati wao wanakutenga.... kwa anayetaka kubadilishana na me yeye aje huku me nije nyamagana au ilemela au moshi namkaribisha aje a experience maisha ya hawa viumbe wa huku........ nicheki kwenye 0718278465.....
 
Kuna uzoefu kazini pia..wewe umetoka chuo juzi na degree yako hata kazi hujaijua sawasawa,unataka upewe u second master au ukuu wa idara,yaani arukwe mtu wa diploma anayepiga kazi kwa zaidi ya miaka 5 kwenye idara husika kwa ajili ya ka degree kako ka kukariri
 
Tena degree yenyewe kaipata MUM!
 
Degree zote sawa na wanaotoa ni binadamu hakuna ya south au England,zote ni bachellor tu,wabongo mnapenda sifa sana
 
unapoandika post linganisha text body na title yake, we wap? degree holder gan unaandika post hailingan na title yake, hamna kitu na degree yako ya vitini rudi shule ukaanze upya
 
Degree zenyewe za chupi! huyo diploma anaejifeel inferiority hajui thamani yake! ungekuwa na uwezo mkubwa usingepelekwa kufundisha form one.. ungekuwa lecturer udsm, mzumbe..etc.. popompo wewe! badala walimu mshikane muwe kitu kimoja mpiganie haki zenu unatuletea upuuzi huu! zimaaa!!

saaf acheni serkali itunyanyase kwa style hii yaani badala ya kupigania maslah mijitu inapiga majungu km hii
ukiona hvyo we na bachelor yako kufundisha hujui
kuna mdada anafundisha geog form one graduate jamani aibuuu!
yaani kuna bnt alinipa daftari nimuelekeze aisee defn ya latitude nilicheka mpa bas nkamwambia tafuta tuit hapa hamna mwl
juzi wamekuja walimu wa field aliechukua somo lake ndo kajuta
yule dogo kanifata kaniambia mwl kumbe kweli mwl wetu hajui kufundisha maana mwl wa field nae katuambia
yaani siku hz hata graduate majangaa kabisaa yaani(sio wote)
na mkiona mnaoneana majungu poleni sana hiyo ofisi haina watu makini
 
Kumekuwa na ubaguzi wa walimu hasa hasa kwa wale ambao ni degree holder na wale ambao ni diploma holder!!

Yaani ni inasikitisha sana, mimi binafsi ni degree holder, nimeajiriwa mwaka huu, niliyoyakuta ni kama ifuatayo:-

1.waalimu wa diploma wanawadis sana walimu wenye degree

2.walimu wenye diploma wana inferiority complex dhidi ya degree holder

3.omba usikutane na head master au head mistress ambaye ni diploma holder, halafu wewe uwe ni degree holder, yaani utapata tabu sana

4.ukikuta head master ni diploma, ugawaji wa madaraka, kuanzia second master to academic to department woote kwa kiasi kikubwa huwa ni diploma

5.walimu wa diploma mara nyingi huwa na tabia za kiform six six , mfano anakuwa still matured kwa kujipendekeza kwa head master au head mistress

6 walimu wa diploma kawaida yao au mara nyingi huwa ni watu wa majungu dhidi ya walimu ambao ni degree holder

7.serikali iangalie upya kwa umakini kutowapa walimu wa diploma kuw wakuu wa shule, wakuu wa shule lazima wawe ni degree holder au masterz

kweli mkuu nilipokuwa shule enzi hizo nilikuwa nayaona hayo mambo.
 
saaf acheni serkali itunyanyase kwa style hii yaani badala ya kupigania maslah mijitu inapiga majungu km hii
ukiona hvyo we na bachelor yako kufundisha hujui
kuna mdada anafundisha geog form one graduate jamani aibuuu!
yaani kuna bnt alinipa daftari nimuelekeze aisee defn ya latitude nilicheka mpa bas nkamwambia tafuta tuit hapa hamna mwl
juzi wamekuja walimu wa field aliechukua somo lake ndo kajuta
yule dogo kanifata kaniambia mwl kumbe kweli mwl wetu hajui kufundisha maana mwl wa field nae katuambia
yaani siku hz hata graduate majangaa kabisaa yaani(sio wote)
na mkiona mnaoneana majungu poleni sana hiyo ofisi haina watu makini

mkuu hapo umewalenga KE . ME wanasota sana katika kusoma lkn hawa wenzetu mhhh!
 
Wewe huna lolote,unataka vyeo tu. Roho inakuuma kuona anayekuongoza ni diploma holder, lkn kwa elimu ya sasa huko vyuoni na hii BRN,mwalimu wa diploma anaweza kuwa bora mara 100 zaidi ya hawa graduates wa sasa hv....Huo ni ukweli kbs,elimu imekufa kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu.
 
Mkasome sasa,sio kuishia kuchomekea tu,na vifimbo vyenu vya kinoko mkononi
 
Infiriority complex na Superiority complex zina shida sana.
 
yaani anayetaka kuja huku Mbulu aje aiseeeh aone.... kwanza asilimia kubwa ya walimu ni wa hukuhuku, halafu hawa jamaa wambulu hata kama ni muiraq mwenzao ila umetokea karatu, au babati wao wanakutenga.... kwa anayetaka kubadilishana na me yeye aje huku me nije nyamagana au ilemela au moshi namkaribisha aje a experience maisha ya hawa viumbe wa huku........ nicheki kwenye 0718278465.....

Njoo Mugumu Serengeti, Near Musoma
 
Kumekuwa na ubaguzi wa walimu hasa hasa kwa wale ambao ni degree holder na wale ambao ni diploma holder!!

Yaani ni inasikitisha sana, mimi binafsi ni degree holder, nimeajiriwa mwaka huu, niliyoyakuta ni kama ifuatayo:-

1.waalimu wa diploma wanawadis sana walimu wenye degree

2.walimu wenye diploma wana inferiority complex dhidi ya degree holder

3.omba usikutane na head master au head mistress ambaye ni diploma holder, halafu wewe uwe ni degree holder, yaani utapata tabu sana

4.ukikuta head master ni diploma, ugawaji wa madaraka, kuanzia second master to academic to department woote kwa kiasi kikubwa huwa ni diploma

5.walimu wa diploma mara nyingi huwa na tabia za kiform six six , mfano anakuwa still matured kwa kujipendekeza kwa head master au head mistress

6 walimu wa diploma kawaida yao au mara nyingi huwa ni watu wa majungu dhidi ya walimu ambao ni degree holder

7.serikali iangalie upya kwa umakini kutowapa walimu wa diploma kuw wakuu wa shule, wakuu wa shule lazima wawe ni degree holder au masterz

hahahaaaa....ndugu mimi ni *diploma holder*, nimefurahi baada ya kutoa lililo moyoni mwako mana czani kama wengine wanalo hili kwa head zao. Kwa experience yangu ya hii kazi, ninaweza kusema taarifa yako inaukweli na ina some individuality points of view. Ninaweza kuorodhesha vitu kadhaa...n maybe this will help.

1. Accountability. Kwa experience yng kiwango cha accountability kwa diploma holder ni kikubwa sana ukilinganisha na degree holder na nko asure kwa 96%. Let it be katika kusimamia kazi za shuleni, kufanya mazingira ya shule kupendeza or whatever.

2. Taaluma. Katika kiwango cha taaluma ni sawa kwa 100%. Sema inabaki na mwalimu mwenyewe, wengine wanakua wanajituma na kupata more knowledge kwa field yake na wengine wanakuwa wamefundisha kwa muda fulani na hapo taaluma ndo itakuw tofauti.

3. Utawala. Hii haitakuwa tofauti kwa sababu ya education levelism, ila inadepend na mtu mwenyewe, whether ni degree or dip holder.

4. Matumizi ya lugha ya kiingereza. Na hii inategemeana na mtu mwenyewe, na wala sio eti deg holder ndo mjuzi sana wa english. But how pipo previous learnt and treated katika kujua kiingeleza dat culd suggest.

Naomba niishie hapa japo kuna mengine ambayo are also individuality, kama ubishoo, kudate wa wanafunzi na mambo mengine kama hyo japo tunaweza kusema katika ubishoo wa degree ndo wanazidi. Kama niko wrong naombeni mnikosoe mana kiwango cha juu kabisa cha ustaarabu na hekima ya mtu fulani, inaweza kuwa ni sawa na robo ya kiwango kwa mtu mwingine, kwa hyo tusijaribu kuweka mizani katika fikra za mtu.

Ur sincerely
sir Bucha.
 
Back
Top Bottom