Recent content by Awuot

  1. Awuot

    JamiiForums Tanzania Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

    Kama wananchi wenyewe wanakenulia meno magumu yote yanayoendelea sahau kuwa yatapiganiwa na wanasiasa.
  2. Awuot

    JamiiForums Tanzania Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

    Wakitoka huko wanaanza uchambuzi wa mpira na kubeti.
  3. Awuot

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kuelekezwa ulipo Ubalozi wa Saudi Arabia

    Ukitokea Mwenge shuka Mbuyuni vuka barabara upande wa pili kuna barabara inaitwa Ruhinde nyoosha nanyio mtaa wa kwanza unaitwa Manara pita mtaa wa pili yake kulia unaitwa Galu ingia nao ni kama mita 20 tu. Utaona kibao cha ubalozi na kibao cha Sunrays School. Ukitokea Posta pia utashukia Mbuyuni...
  4. Awuot

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Delila hakumnyoa Samsoni bali alisingiziwa

    Kweli kabisa aliahidiwa kitita huyu mwanamama.
  5. Awuot

    JamiiForums Tanzania Asanteni wana JF

    Pole sana mkuu na karibu tulisongeshe maisha lazima yaendelee. Mungu akujalie ujasiri na afya njema.
  6. Awuot

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

    Nilikua nakipenda sana, nilikua nacheka mbavu sina. Salaaamm chap chap. RIP Baragaza
  7. Awuot

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mahiga alifanyaje hadi kuwa DG wa TISS akiwa na miaka 35?

    Labda hizo karanga alikua anapema na Salim
  8. Awuot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ilikuaje mpaka ukamla mke wa mtu?

    Hahaha!! itakua
  9. Awuot

    JamiiForums Tanzania Hiki kijiko kina kazi gani?

    Kazi ya hicho kijiko ni kukwangulia ukoko wa wali na ugali kwenye sufuria
  10. Awuot

    JamiiForums Tanzania Tusipende kupuuza simu tunazopigiwa

    Ni kweli mkuu mwingine anakupigia kwa namba ngeni hata mara 10 unakuja kumpgia nae anakuuliza " kwani wewe nani, upon wapi?".
  11. Awuot

    JamiiForums Tanzania Je TCRA wangeruhusu hili? Oneni kituko cha TV za Kenya.

    Au kende
  12. Awuot

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisaikolojia unahitajika haraka

    Muache tu hana mawazo amechukua nafasi ya Chadema kudeka, alisema chadema wanadeka. Sasa zamu yake kudeka
  13. Awuot

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Huyo jamaa nimemshangaa utafikiri wanaenda kutuhubiria dini kitaifa. Sisi tunahitaji viongozi wa kutuongoza wenye maadili mema, busara na hekma wakifuata katiba na sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hayo mambo ya dini zao hazituhusu
Back
Top Bottom