ricostersundi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2017
- 358
- 447
Watu mnamambo duuu!!.jifunze kusahau mambo ya watu jali sana mambo yako.ukifatilia sana mambo ya watu yatakupotezea sana muda wako.ila ni ushauri tuu.Unashangaa simu inaingia, unaipuuzia! Kumbe ni ya Uteuzi wa Ukuu wa Wilaya Hai kwenda kuchukua nafasi ya yule Jambazi Sugu!