Je TCRA wangeruhusu hili? Oneni kituko cha TV za Kenya.

Abby Newton

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
1,227
2,197
Hawa wenzetu sijui wanafeli wapi?
Screenshot_20210421-185041.jpg
 
Video nzima ya kipindi ipo Youtube. Yaani neno linatamkwa km lilivyo.Hatari sana
 
Waacheni, mbona sisi huku tunatangaza lesi kwa kusema ni kinga ya damu ya hedhi na safi tu..

Wasanii kila leo wanatoa vitu vya hovyo.
 
Back
Top Bottom