Hiki kijiko kina kazi gani?

Hiki kijiko kina kazi gani?

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,989
Reaction score
4,369
Habar wakuu, naombeni kuuliza hiki kijiko [emoji116] kina kazi gani ?

Asanten.
FB_IMG_16214412022131361.jpg
 
kijiko cha kutambua kama kuna sumu kwenye chakula na kama ipo kidogo bac kinaweza kuinyonya yote
 
Kuna mtu ataingia kichwa kichwa afu atapigwa za uso hapa MDA si mrefu[emoji28]

Mambo ya rupia ya mjerumani aya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom