Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,570
- 3,763
Wagonjwa huwa wanamambo ya ajabu sana, unaweza wahudumia vizuuuri ukifanya kakosa kadogo tu masikio yamesimama alafu unakuta ni kijiji kijiji kweli ambapo wakipeleka mtumishi mwingine anakimbia hizi kazi bhana.Huyo mkuu wa wilaya anayefukuza wataalam adimu yeye amesoma mpaka level gani?
Wivu tu.
Kweli mtu utadiriki kufanya mapenzi wodini wakati Kuna vile vyumba vya manesi?
Sasa hao wagonjwa acha wafanye umbea madaktari wafukuzwe tuone watatihiwa na Nani.