Recent content by awp

  1. awp

    JamiiForums Tanzania Nimenunua umeme wa elfu 5 nikapata unit 1

  2. awp

    JamiiForums Tanzania Bwana Mtei matatani kwa kumchukua mwanamke msukule

    mmmm hatari
  3. awp

    JamiiForums Tanzania Transfer jamani..

    mnalilia transfer wakati 5th round bado....
  4. awp

    JamiiForums Tanzania TCU wametoa tangazo rasmi 3rd round aplication

    Msaada jamani kwenye profile zetu wamesema select UP to 5 programme na kwenye tanagazo lao TCU wanasema select ONLY ONE programme. sasa tufanye lipi wadau saidieni
  5. awp

    JamiiForums Tanzania Eti TCU Wamesema Wanaofanya Second Round Wachague COURSE Tano, Je Ni Kwelii, Tusaidiane Jamani

    ndio hivyo lakini CAS haifunguki leo
  6. awp

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hili kuhusu TCU second round selection

    Nenda kawasikilize, mi wangu kapata CBG point 8 sawa na 2.7gpa na kakosa round ya kwanza
  7. awp

    JamiiForums Tanzania Second Round Application TCU

    namimi nataka kujua but i think inakuwa kama 1st selection tu
  8. awp

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye usajili TCU

    Granted Peter may be network ila mimi kwangu inafunguka coz nimetoka kuwajazia ndungu zangu muda si mrefu
  9. awp

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye usajili TCU

    Mr. Mangi, usipotoshe...DUCE ilikuwepo tokea jana waliporealese net hadi kufikia saa 4 asubu leo. ila kwa sasa imejaa
  10. awp

    JamiiForums Tanzania BASATA na TCRA mmulike uchochezi, matusi na tuhuma zisizo za msingi

    Kila nikiusikiliza nacheka sana hasa pale anaposema "Eti unaisaka bikira ndani ya wodi ya wazazi"
  11. awp

    JamiiForums Tanzania Magufuli aonesha vipaumbele vyake

    KOMBAJR umenichekesha sana siku ya leo na hivyo vipaumbe. nilinuna nimejikuta ninafuraha ghafla
  12. awp

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    mkuu Lisandime, saidia haya maneno nimecopy kwa mkuu hapo huu coz na mimi nina tatizo kama hilo (mimi nimemaliza kujaza program zote tano lakini sioni sehemu ya kuclick ili kusubmit au ndo tayari selection imeisha baada ya kujaza program tu hakuna hatua nyingine tofauti na kuprint? naombeni...
  13. awp

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Mkuu yamekukuta kama mimi PROSCUTOR HUBU, vipi ulifanikiwa kupata majibu
  14. awp

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    mkuu Joline naomba msaada, ukishamaliza program selection kuna kitufe cha confirmation au inakuwaje
  15. awp

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Msiba wa kihistoria ulioitikisa Lindi mjini, 7 wafariki

    Duu poleni sana wapendwa
Back
Top Bottom