Recent content by award_jr

  1. award_jr

    kitu gani hukukasirisha na kukuudhi job?

    Unakuta hakuwa na ofisi ila kutokana na kujuana na mwenye ofic either ni kaka ake basi akishakabidhiwa kuwa yeye ndie bosi hahaha utapata shidaaaa
  2. award_jr

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tutapendana kwa kila jambo kama kukiwa na amani
  3. award_jr

    kitu gani hukukasirisha na kukuudhi job?

    Hasa waliokabidhiwa
  4. award_jr

    Nimetawaza kwa kutumia maji yenye Jik

    Yaaaani nimeshindwa kujizuia
  5. award_jr

    Utoaji wa mimba na kukataliwa kwa mimba

    Nini hasa kinasababisha mtoto wa kike kutoa mimba? Na sababu kuu hasa ni nini kwa mwanaume kuikataa mimba? Na nini athari za yote haya mawili?
  6. award_jr

    Wengi wanaosema wapo single ni vicheche

    Huwa inategemea na tabia ya mtu
  7. award_jr

    Picha: Zari the bossy lady VS Madam Ritha

    Ni kweli aiseeeeeeee
  8. award_jr

    Mke wa mtu ataka kuwa dereva Bodaboda

    Ni wazo zuri ila kiusalama kidogo inakuwa ni shida japo usalama hata kwa man's ni muhimu, ikiwa ataweza kumudu vishawishi na kufanya kazi kwa kutwa basi itasaidia familia
  9. award_jr

    Picha: Zari the bossy lady VS Madam Ritha

    Unapokuja kwenye swala la mvuto na uzuru hawa wadada bhana walipewa kama vile ua rozi
  10. award_jr

    Wanasayansi wadai kuwa ndevu huwa zina uchafu zaidi ya choo

    Ni watu flani waliokosa vya kufanya basi wanaleta mijadala isiyo na funzo ndani ila uchochezi flani wa kidini
  11. award_jr

    Kama hujazaliwa chini 1990 mambo haya hutayajua

    Kukimbiza gari la matangazo
  12. award_jr

    Naomba kufahamu vitu hivi kuhusu Huawei Y530-U00

    Nataka kujua kwanini huawei y530-U00 haina power saving mode na haina uwezo wa ku install some launchers mfano Go launcher na apps kama PicArts
  13. award_jr

    Tumia Apps Hizi kuifanya simu yako ya Android iwe na muonekano wa iPhone

    apple wanazongia bhana, yaani Android ni Os moja simple sana kutumia
Back
Top Bottom