Nina division 2 masomo mengine yote yaliyobak nikimaanisha Histor,Kiswahil na Civics nina alama C. Nmetaja hyo matano kwa sabab Nacte wanayangalia hayo sana.
Asante kwa ushauri mzuri,nmeona wameweka third round ila ni kwa mafunzo ya ualimu tuu, vipi nikienda ualimu baadae naweza kuja kusoma medical lab. tena ??
Habarin zenu wanajamvi natumai mko poa kwa wale ambao hali Si nzuri basi Mungu awafungulie njia.
Niende kwenye mada naomba kuuliza wakuu hiv Nacte wanaangalia vigezo gani haswa?? Nmeomba vyuo vya afya kwa govt nimekosa na ufaulu wang form 4 :katika PHYSICS-C,CHEM-C,BIOLOGY-B ENGLISH-C,MATH-D...
Mamb Vip wana Jf
Naomba msaada kama kuna mtu ameshafanya application ya coz yoyote ya diploma chuo cha SUA tafadhali naomba anielekeze kwani me nmekwama inasumbua na nimesha lipia na hao wenyew namba zao hawapatikani tafadhal mweny kujua anisaidie..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.