Recent content by aventria

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mwakalebela leo katuma sms kwa kila mwana Iringa, alipataje namba zetu?

    Mlipokuwa mnatia sahihi kutumia huduma za mawasiliano za mitandao ya simu hamkusoma vingezo na masharti. Kwa taarifa yao data zako zinaweza kutumiwa kwa "marketing purposes" Amkeni watanzania.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    CCM oyeeeeeee CCM imeipenda wenyewe CCM iyaijuwa wenyewe CCM Mbele Kwa Mbele #mabadiliko #ccmout
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake huwa wana expire date

    Mkuu inaoneka umetendwa. Pole, wanawake wa mujini wamefanya mapenzi biashara. Nakuombea Mungu akupe mke sio mwanamke.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Makufuli hana nguvu wala jeuri ya kuwakamata mafisadi na biashara zao, CCM inaendeshwa na mafisadi, na mafisadi ndio waliompendekeza kwenye urais. #mabadiliko #ccmout
  5. A

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Chadema kushitaki Mahakama Kuu!

    CCM ni ile ile, CCM Haitabadilika, Majina hewa ya wapigakura wenu, mtu anaitwa fhdhdjdjdhdjd fhdhdjdjdhdjd, mwengine Kazaliwa 1900, vituo vyenye majina ya 3180459552125800005112. Kweli ccm ni mafisadi na wezi. #sambazamabadiliko #ccmout
  6. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Mwenge ni nguvu za kienyeji, Mwenge umezidiwa nguvu na FREEMASON.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Free Mason wanamuunga maono Lowassa kuwa ndiye rais. Na ataxia kwa kura nyingi. Anayetaka kujiunga ani pm.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Ulifikiri kuwa nchi inatawaliwa na wajinga wajinga tu? Obama ni mason, Mason ndio hutawala dunia. Jibu unalo.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wanaomwamini Lowassa wampe uongozi wa CHADEMA

    Kufuli umelipima?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha Msikiti binafsi

    Madhehebu yapo kwa mfano kuna. Suni Shia Ismailia Bohora Konki Ahamadiya
  11. A

    JamiiForums Tanzania Shirika la Nyumba la Taifa, hizo nyumba mnawajengea watanzania wote au baadhi?

    CCM ni ile ile, CCM umeipenda mwenyewe. CCM ina wenyewe. CCM Mbele Kwa Mbele. CHUKUA HATUA, Chagua Ukawa.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

    Makufuli anakubalika kwenu
  13. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo afariki dunia

    Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Huyu si Lowassa ambaye UKAWA tulimtaka

    CCM = TANU TANU= miaka 16 madarakani kutoka 1961, CCM = miaka 38 madarakani baada 1977, JUMLA = MIAKA 54. CCM wameuza nchi...... CCM ina wenyewe. Na wenyewe ni mafisadi. CCM upo madarakani kwa sababu ya upumbavu na ulofa wa watanzania, CCM ni ile ile, CCM Haitabadilika.
Back
Top Bottom