Huyu si Lowassa ambaye UKAWA tulimtaka

Huyu si Lowassa ambaye UKAWA tulimtaka

Lowassa ambaye wengi wetu tulimtaka ahamie UKAWA, si huyu ambaye tunamshuhudia.

Kutaka kunielewa zaidi, hebu jaribu kukumbuka mkutano wake wakati wa kutangaza nia pale Arusha na ufananishe na mkutano wake wa leo Arusha.

Mkutano ule wa kwanza, ulionyesha kujiandaa.. Wasanii walijaa, vyombo karibu vyote vya habari vilikuwa live..

Tatizo sasa hivi liko wapi? Hana hela au ameishiwa? Bado sana kujihakikishia ushindi, tunahitaji kuongeza nguvu ktk media, na pia kama inawezekana kuweka wasanii pia si vibaya kwani lengo ni kumpata kila mtu.

Hebu pata picha mikutano ya UKAWA inavyojaa leo bila wasanii wakubwa, je wangekuwepo ingekuwaje? Wengine watabisha kwa hoja dhaifu ya kujitofautisha na CCM, bila kusahau lengo letu kubwa ni kuingia madarakani ndo maana tukamfanya Lowassa kuwa mgombea wetu.

Muda bado ungalipo, tubadilike.

Hivi CCM ilikupa milioni 50 na wewe?
 
Chadema imeshauzwa...

Ni mwendelezo wa kambi ya mgombea wa CCM, asiye na ugomvi na chama bali uchu wa madaraka...

Chadema mwaka huu haina mgombea, isubiri 2025 labda...

Miaka 54 madarakani ndio uchu wa madaraka.

CCM ina wenyewe.
Na wenyewe ni wao.
Na wao ni mafisadi.
 
Chrisludos hatujaishiwa hela na sio kwamba hatutaki wasanii. lakini wenzako wa CCM wanatufanyia mizengwe, kwani kwanza wamekata umeme licha ya sisi kulipia matangazo live ITV. Mkutano ule utarudiwa ITV siku itakayopangwa. lakini kwa wasanii ni kwamba wanatishwa kufungiwa na kuzuiwa kazi zao kusikika kwenye media. sasa sisi hatuna nia ya kuwaharibia watu. tunataka mabadiliko na tunaenda kuyapata oktoba 25. Nakushauri jiandae kisaikolojia kwa mabadiliko
Rais ajaye ni lowasa, wanatishika nini sasa?! Au hawaamini kuwa lowasa anashinda?!
 
Haki ya nani kwa ubishi huu wa kijinga ni dhahiri kuwa ukawa mtashindwa asubuhi sana. Mnakazana kusema watz wameishaamua je, hao maelfu tunaowaona wanajaa ili kuwaona wasanii na mavazi ya ccm siyo watz? baada ya kutiwa upofu mnajifariji kuwa mmeishashinda, sasa subirini ndo mtajua kuwa maharage siyo mboga ifikapo mapema Novemba.
 
Mtazinduka wote hata ww na kuwa ni wakati wa Mabadiriko, Lowassa for presidency, Mae

Hivi CCM ilikupa milioni 50 na wewe?

Hakuna mtu aliyekaa miaka 54 madarakani...

Chadema imeshauzwa...

CCM = TANU
TANU= miaka 16 madarakani kutoka 1961,
CCM = miaka 38 madarakani baada 1977,
JUMLA = MIAKA 54.

CCM wameuza nchi......
CCM ina wenyewe. Na wenyewe ni mafisadi.
CCM upo madarakani kwa sababu ya upumbavu na ulofa wa watanzania,

CCM ni ile ile, CCM Haitabadilika.
 
Lowassa ambaye wengi wetu tulimtaka ahamie UKAWA, si huyu ambaye tunamshuhudia.

Kutaka kunielewa zaidi, hebu jaribu kukumbuka mkutano wake wakati wa kutangaza nia pale Arusha na ufananishe na mkutano wake wa leo Arusha.

Mkutano ule wa kwanza, ulionyesha kujiandaa.. Wasanii walijaa, vyombo karibu vyote vya habari vilikuwa live..

Tatizo sasa hivi liko wapi? Hana hela au ameishiwa? Bado sana kujihakikishia ushindi, tunahitaji kuongeza nguvu ktk media, na pia kama inawezekana kuweka wasanii pia si vibaya kwani lengo ni kumpata kila mtu.

Hebu pata picha mikutano ya UKAWA inavyojaa leo bila wasanii wakubwa, je wangekuwepo ingekuwaje? Wengine watabisha kwa hoja dhaifu ya kujitofautisha na CCM, bila kusahau lengo letu kubwa ni kuingia madarakani ndo maana tukamfanya Lowassa kuwa mgombea wetu.

Muda bado ungalipo, tubadilike.
Wewe mwenyewe ni msanii tosha
 
Kampeni za kisasa ndio za kupiga push ups,kucheza rhumba,kuporomosha mates na kuongea lugha gongana?FUTUHI wanapaswa wamsajili JPM.Mimi namchagua LOWASSA!!
Kampeni ni UKAWA kuhutubia Kanisani na kufufua watu na hata kuahidi kufungulia majambazi
 
jadili hoja, mi ni CHADEMA kabla we hujaanza kufatilia siasa.

Yawezekana, lakini Watu hubadili misimamo yao kisiasa. Hivyo si ajabu wewe kuwa ugambani Leo hata kama juzi ulikuwa chadema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom