Recent content by augu

  1. augu

    Nahitaji mkopo wa milioni 100

    Kuna yule mzee aliyegundua madini ya Tanzanite naamini atakuwa nayo Ukizingatia umri wake umeenda sijajua atazitumia wapi we ongea nae vizuri
  2. augu

    Nahitaji mkopo wa milioni 100

    Kuna yule mzee aliyegundua madini ya Tanzanite naamini atakuwa nayo Ukizingatia umri wake umeenda sijajua atazitumia wapi we ongea nae vizuri
  3. augu

    Wasanii ambao hawajui kuimba kabisa lakini bado wanalazimisha kuimba

    Na wewe toa nyimbo yako tuione na kuisikia..........!
  4. augu

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Hapo nyuma naona kama wasaidizi wake in Black uniform japo wanaona huku mali inapotea (aliyejitwika ndoo kichwani) lakini hawachukui hatua yoyote coz top manyota anajikuta ndyo kila kitu .........!
  5. augu

    Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

    Bora walimkavu kuliko walimwengu Asante kwa somo zuri na poleni sana Always remember as long as you attend the class to get any kind of knowledge evn in our scul tayari wewe ni fursa by default .
  6. augu

    SWALI- ufanyaji wa masturbation ni kosa la kizinaa kama zinaa nyingine?

    Not Good because of the following factors: Upigaji punyeto hufatana sambamba na utazamaji wa picha za ngono ili kusuppport stimulation ya hisia za mapenzi Na hii husababisha mtu kuwa addicted(out of your self control) which is totally not Good Unforrunately most of those addicted in this...
  7. augu

    RIPOTI TWAWEZA: Taarifa za wabunge wa upinzani haziaminiki kuliko za wabunge wa CCM

    Kwanza kabla ya yote Inategemeana na utafiti umefanyika mikoa gani........! Majimbo yapi zaidi.......! Na kwa watu wa aina gani either watumishi wa serikali au waliojiajiri wenyewe.........! Pia jamii ya watu gani mfano :wanafunzi , vijana ,wazee ,watoto, Baada ya hapo sasa tunaweza tuka...
  8. augu

    Vitabu vya dini visitumike kuwaapisha wanasiasa!

    Mara nyingi sana nimrwasikia viongozi wetu wakisema Serikali haina dini Na hata shule zeru za serikali utasikia Serikali haina dini Sijajua tofauti kati ya "haina dini " na "haiamini katika dini "
  9. augu

    Mwenye uzoefu wa simu nauliza ipi ni simu star au bingwa kitecnologia kati ya iphone na sumsung

    Hatuna shida na Bei Ila jina ndyo tatizo mfano ............Phantom Z is Good Nimeshindwa hapo hata kutaja hilo jina ila wanapozingua ni kurelease Brand zao frequently hvyo hata ukinnunua new brand after one year utakuwa umepitwa mbali sana
  10. augu

    Mwenye uzoefu wa simu nauliza ipi ni simu star au bingwa kitecnologia kati ya iphone na sumsung

    Kwa nyie hamna shida kuchangia Ila kiukweli kwa watu wa Tecno nadhani hii mada wangebakia wasomaji comment inatosha With all due their respect Tecno user
  11. augu

    WanaJF acheni kutuponda tunaotumia TECNO

    Alafu unaongeza sauti harufu isickike
Back
Top Bottom