Asante mkuu emeeleweka vemaAcha kutufanya hatujui kitu. mtu anaapa kwa Mungu/mungu anayemwamini na sio kwa kiongozi wa dini. Umewahi kuona kiongozi wa dini anamwapisha mwanasiasa kwa kazi za serikali? hivi Jaji Mkuu anayemwapisha Rais ni kiongozi wa dini gani? Biblia au Quran ni vitu vinavyomwakilisha Mungu na sio binadamu awaye yoyote. Na ndio maana hata hao maaskofu huapa kwa kushika hiyo Biblia.