kuweni wawazi hapa, walitaka watu wanaomit criteria za vyuo husika. kama ulisubmit ina maana hukuchaguliwa. Kwa nini watu wanapenda favour hata kama hawana vigezo? hii imejionyesha kwenye nafasi nyingi za uingozi hapa tanzania. Unakuta mtu anasema wanawake wanaonewa, inaweza kuwa kweli lakini...
Kinachotakiwa ni usimamizi mzuri wa ukusanyaji wa kodi nchini, na kuwa committed kulipa kodi. Nchi nyingi hazina bahari wala maziwa ila watu wake wanaishi vyema na wan maendeleo kuliko sisi. La muhimu ni kuboresha huduma zetu, kwa sababu anayefanya biashara cyo serikali bali ni watu wao amabao...
Hapa hamana logic, msingi wa ndoa ni imani, kwa maana uwe mkristo au muislamu aliye hai. Kumbuka kuwa udini ulishakatazwa na viongozi wetu na c swala la kuinvolve linapokuja suala la mahusiano. Watu wanadiscus uchawi based on what factor? maana hata mlokole akisema jambo kwa hasira likatoke basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.