My take on this:
Whether government or private sector, they don't have the means or equipment to verify authenticity of the said passport, apart from Immigration officers at airports and others places of entry in the country.
Immediate transformation is needed!
What they need to ask...
Heading ya hii topic inaonyesha sababu anafanya hivyo..embu read between the lines!
Nyumba niliyojenga...
Unajenga nyumba yako mwenyewe ukae mwenyewe? Then mkeo anajenga yake akae na watoto.
Circumstances ya maisha au kazi kukosa mke wako sio sababu to make justification.
Jenga pamoja weka jina...
Ukialika mtu "outing" iwe mwanamke au mwanaume, then naona ni sawa kugharamia kila atakachotumia. Iwe vinwaji au chakula. Gharama au bei ya hiyo bidhaa inategemea mmeenda wapi. Lakini kama mmekubaliana kwenda pamoja for "kampani", hapo lazima kila mmoja apambane na mfuko wake. Nilichogungua kuna...
1km of tarmacadam(tarmac) = Tzs800mil - Tzs 1Bil..215km mpaka Moro mkandarasi awe na kiasi gani kumaliza hii project?
Cjui nani atapewa hii tender/contract!
Usalama wa barabarani iwepo mda wote, 24 hours. Kuna madereva wengine kutumia hii kama nafasi ya kumaliza dashboard ya basi. (120km/h). Matokeo:
Overspeeding.
Ajali
Drinking & Driving.
Trafgic wawepo mda wote na huduma zingenevyo ziwepo huko njiani. Mfano, sehemu za chakula, usalama wa abiria na...
Allow her to persue her dreams in life just like you are doing now. She is your wife, nothing will change that matrimonial bond. Personality and character will define what kind of wife she is...let her work!.
Kwa mwendo huu..itapendeza zaidi tukilipwa mshahara ni cash...physical money..hizi taasisi nyingine wapambane na hali zao....
Cha ajabu, unafika ofisini kwao, jengo imechakaa balaa...viti na meza inabaki kuwa story au tamthilia kwenye TV
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.