Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,858
Chezea tigo wewe nyie endeleeni kuzibaniaAcha kutuchora ila kuna mwanaume alinisubiria 7 years akaja kukuona muarabu waliokaw miezi 6 Kisa kampa tigo

Miaka 6 unasubiri utunukiwe K ina nini cha ajabu hiyo K? Kwa huruma sana mwisho wiki tu hatoi nasepa na huduma nasitishaEti jamaa yangu wewe unaweza kaa na mbususu for good 6yrs bila bila na unaihudumia![]()
Miaka 6 unasubiri utunukiwe K ina nini cha ajabu hiyo K? Kwa huruma sana mwisho wiki tu hatoi nasepa na huduma nasitisha

🤣🤣 sema nyie wanawake yaani kama mwanamume haujamwelewa ila upo kumchuna tu huwa wasumbufu sana kwenye kutoa K
Ndio miaka 6? Mm siwez mdanganya mtu miaka yote hiyo aiseesema nyie wanawake yaani kama mwanamume haujamwelewa ila upo kumchuna tu huwa wasumbufu sana kwenye kutoa K
Swali langu kwako?.. upo nae kwenye mahusiano kwajili ya nini? Lengo lako ni nini?...2016 - 2022 na bado unasubiri mbasusu?Wakuu habarini,
Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.
Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!
Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.
Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
Hii kitu ni uongo aisee juba Hawa watu 18 mpaka 22 wengine ni wamaza tayari so sio mabinti wadada ni wale wasioolewa hata akiwa 50+ ni mdada hadi azae ndio mamaSubili ni mpatie muongozo Mkuu
Binti 15-22
Dada 22-25
Mdada 26-30
Mama 30-35
Mmama 35-44
Bibi 45-55
Mbibi 55+
Na kumpata wa kumdanganya hivyo napo mmh sidhani. Wewe unachukuaga muda gani mpaka kumpa penzi?Ndio miaka 6? Mm siwez mdanganya mtu miaka yote hiyo aisee
InategemeaNa kumpata wa kumdanganya hivyo napo mmh sidhani. Wewe unachukuaga muda gani mpaka kumpa penzi?

Miaka 6 ni mwanaume gan wa kusubiri muda wote huo?? no mbususu na huduma anatoa. Labda mgonjwa na ana hela hana pa kuzipeleka hivi hivi nakataa.Na kumpata wa kumdanganya hivyo napo mmh sidhani. Wewe unachukuaga muda gani mpaka kumpa penzi?
Wee, fala sana, MkuuWakuu habarini,
Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.
Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!
Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.
Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
Wanaume wa sasa hivi tulivyo wabahiri tukishapigwa vizinga viwili au vitatu tu tunataka na mbususu 😅Miaka 6 ni mwanaume gan wa kusubiri muda wote huo?? no mbususu na huduma anatoa. Labda mgonjwa na ana hela hana pa kuzipeleka hivi hivi nakataa.
Uliona wapi watu wanajiita wapenzi alafu hawafanyi mapenzi yenyewe..🤣Wakuu habarini,
Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.
Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!
Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.
Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
Inategemea nini sasa?Inategemea![]()
Jamaa ni mpenzi mtazamaji wenzake wanazidi kuichakataUliona wapi watu wanajiita wapenzi alafu hawafanyi mapenzi yenyewe..🤣
Huyo mwizi.Wakuu habarini,
Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.
Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!
Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.
Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
Inategemea nini sasa?
Wanaume tuko poa sana yaani demu anivutie waya kuwa ana hamu agegedwe huduma anapata chap kwa haraka ila tukiwaomba nyie huwa hamuishiwi visababu vya uongo uongo
Sasa mzeya una opportunity ya kwenda kula mbususu chuo bado unawaza mbususu ya huyo mwanamke...acha uboya wewePole sana mkuu... mkuu huyu binti kuna muda ananiambia kwamba siku ikitokea tukafanya mapenzi inaweza ikamuathiri akawa analiwa endapo mm nikienda masomoni coz ninampango wa kwenda kufanya masters mwakan mwanzoni af ni nje ya nchi.