Mimi nilitongoza mke wa mtu akakubali vzr kwamba tutatoka twende tukagegedane nikafunga safari nikafika mpaka gesti kidume nikalipia elfu 30 gesti nzuri tu namsubiria aje ila aisee manyoya niliyoachiwa sitayasahau ikabidi nitafute mwanamke wa pale gesti akanipa nikamalizana naye ila alikuwa...
Sasa ulitaka serekali ikutengenezee choo acha umwinyi kaka utakuta baadhi ya wazazi wanakunywa pombe hawajali maendeleo ya watoto wao kumbe vyoo viko hovyo mnamlaumu jpm tu
Dah jamaa kapata majibu na makavu pia sasa achague mwenyewe ila mimi nakushauri kama ni kweli hiyo movie basi huyo mwanamke hakufai ila kama unataka kuleta mada jamvini basi mdogo wako ni wa kufukuza na kuachana habari za shule huenda hata ada anagegedea huko
Bikra n nzuri sn kwa mtu yeyote ila ukiona mwanaume anapenda dem asiye bikra maana yake ameshapiga Sana sasa hataki usumbufu kuona mwanamke kitandani anakimbiza kiuno kushoto na kulia anataka wa kucheza game za kueleweka
Hivyo mtoa mada usidhani bikra wanapenda wote wengine hawazitaki...
Madem n wengi unapoteza muda tu na huyo achana naye demu anatongozwa mara 3 tu ya kwanza unajenga mahusiano ya 2 unamwambia hitaji lako ya 3 unafanyia kazi ya 1 na ya 2 kwisha
Mimi nakushauri kitu kimoja tu jaribu kutafuta mchepuko ambao naomba Mungu uwe na tabia zifuatazo:- ukuchune hela kila siku, uwe na papuchi kubwa, uwe na mdomo mchafu uwe na midume mingine, uwe haupokei simu mida ya kuwasiliana naye nk afu utaona umuhimu ya huyo binti sayuni wewe hujui tu...
Tatizo hawataki kuwa viongozi wanataka kuwa wanasiasa mbona wakati wa kikwete walikaa kimya wakati mafisadi yanakula hela leo hii mafisadi yamebanwa wanakasirika huo ni uchanga wa siasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.