Zitto na Lissu mnatuchosha sana

Zitto na Lissu mnatuchosha sana

Nawashauri kabla ya kutoa matamko yenu na kushauri serikali yetu hebu jaribuni kushirikisha kwanza hekima, busara na maarifa viwape mwelekeo kabla ya kutenda. Karibuni mmekuwa na mikurupuko mingi ya kisiasa inayowaweka rehani. Nawashauri mjitafakari sana kwani mnatuchosha sana watanzania wenye uelewa na tunaojitambua kimawazo na kiakili.

Kufa uachane nao
 
We ni muongo mtukuka ! Kwann ukubali kuchoshwa?c uache kuwa angalia ?mbona huchoshwi kiranja wako wa kijani anapoweka binadamu kwe viroba na mawe na kuwalaza ruvu?mbona huchoshwi na uongo wa serikali ya ccm kukataa njaa na wakati ipo, tena wazi ? Mbona huchoshwi kagera kuambiwa ukimwi wao tetemeko wao ! Kuna anayeomba afikwe na mabaya ? Ww ndo ukague fikra na mdomo wako kabla huja achama kutema uozo unaoutoa ! Kujikomba gani huko mpaka unakosa staha !yaani unatwambia Lugha za kiranja wako anazotoa dhidi ya wananchi ni za staha ? Na zinafaa ? Km ndivyo,bac ndo maana na we unatoa hiyo minyoo kinywani mwak😵NA AIBU WW KIUMBE !
 
Usitusemee Watanzania, sema wanakuchosha. Wengine wala hatuoni la kuchosha toka kwao.
 
Nawashauri kabla ya kutoa matamko yenu na kushauri serikali yetu hebu jaribuni kushirikisha kwanza hekima, busara na maarifa viwape mwelekeo kabla ya kutenda. Karibuni mmekuwa na mikurupuko mingi ya kisiasa inayowaweka rehani. Nawashauri mjitafakari sana kwani mnatuchosha sana watanzania wenye uelewa na tunaojitambua kimawazo na kiakili.
Well said
 
Mimi hawajanichosha.

Bali nimechoshwa na serikali ya rais wenu. Utafikiri ameshatawala miaka 20 bhana kumbe hata 2 tu hajatoboa. Na demokrasia kwa maana ya serikali ya watu ni uongo mtupu ni elimu ya ki-freemason. Ingekuwa ukweli huyu rais wenu tungesha muondoa siku nyingi hata mwaka 1 asingeumaliza. Maana vitabu vya elimu ya uraia vinasema kwenye democracy maamuzi yote yako mikononi mwa raia, kitu ambacho si kweli, so hii ni elimu ya uongo imekuwa ikifundishwa kwa miaka na miaka duniani kote.

So hatuna uwezo tu, kama tungekuwa na uwezo huyu rais wenu, asingetoboa 2017 maana katuchosha muno kama vile ametawala zaidi ya miaka 30 kama Mugabe bhana. Na kama kungekuwa na uhuru wa habari nyie munao leta threads za ajabu - ajabu kama hii, mungepata shida sana.
 
Hawatulii na hoja moja. Leo watasema hili baada ya siku chache wanarukia lingine.

Watatulia vipi na hoja moja wakati madudu ni mengi sanaaa, na yote hayo yanahitaji majasiri wa kuyasemea?
Wazee wote wa CCM (Mwinyi, Mkapa, Kikwete, nk) wamekaa kimnya, ili kulinda matumbo yao na hatma zao.
 
Lisu anafahamika nimtuwa kukurupuka ukupovulikimtoka. Sasa uyu Zito nashangaa tanguameoa kama anapoteza uelekeo. Yaani Zito anataka kufanana na akili za Lisu.Sasa sijui anataka kumwonyeshamkewe kwamba yeye ni Nguli wa siasa.
Nakushauri Zito Kuwa maarufu ni kazisana,Ilakuupotezaumaarufunitendo lakufumbanakufumbua. Ebukaa utafakarikablayakuropoka nakujiapi za kwavituambavyo huvijui. Watanzania wataacha kukuamini alafu wakakuweka kwenyekundila Lema, Lisu n.k
Hii nimeipenda
 
Mkuu a cha masihala, kuna dalili kubwa ya NJCAA mwaka, karb kila mkoa hakuna mvua, au mpaka afe ndugu yko kwa njaa ndio uamini?, acha ufia chama
Kama wananchi wanaambiwa wasikate miti hovyo kunaleta ukame ila hawataki kuelewa unadhani nani atawasaidia kama hamtaki ushauri mnataka misaada mtaumia
 
Ulishawahi kumuambia Magu atumie busara na hekima na aache kulipuka na kutoa maneno yanayoudhi kwa wananchi..?!
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako wewe...
Siku zote ukweli unauma magu anaongea ukweli cream na watanzania tumezoea faraja na upole upole sasa twende kikatili kidogo tuache vya dezo na upole upole
 
We ni muongo mtukuka ! Kwann ukubali kuchoshwa?c uache kuwa angalia ?mbona huchoshwi kiranja wako wa kijani anapoweka binadamu kwe viroba na mawe na kuwalaza ruvu?mbona huchoshwi na uongo wa serikali ya ccm kukataa njaa na wakati ipo, tena wazi ? Mbona huchoshwi kagera kuambiwa ukimwi wao tetemeko wao ! Kuna anayeomba afikwe na mabaya ? Ww ndo ukague fikra na mdomo wako kabla huja achama kutema uozo unaoutoa ! Kujikomba gani huko mpaka unakosa staha !yaani unatwambia Lugha za kiranja wako anazotoa dhidi ya wananchi ni za staha ? Na zinafaa ? Km ndivyo,bac ndo maana na we unatoa hiyo minyoo kinywani mwak😵NA AIBU WW KIUMBE !
Mbona hasira kaka huu mchezo hautaki hasira
 
Kula yao lazima wauze sura kwahiyo tuwaache wauze sura ndiyo wale kazi wanayo.
 
Tatizo hawataki kuwa viongozi wanataka kuwa wanasiasa mbona wakati wa kikwete walikaa kimya wakati mafisadi yanakula hela leo hii mafisadi yamebanwa wanakasirika huo ni uchanga wa siasa
 
Nawashauri kabla ya kutoa matamko yenu na kushauri serikali yetu hebu jaribuni kushirikisha kwanza hekima, busara na maarifa viwape mwelekeo kabla ya kutenda. Karibuni mmekuwa na mikurupuko mingi ya kisiasa inayowaweka rehani. Nawashauri mjitafakari sana kwani mnatuchosha sana watanzania wenye uelewa na tunaojitambua kimawazo na kiakili.
Hauko sawa kiakili wewe maana ungekuwa sawa ungekuwa umesha jua asiye na kauli zenye hekima na busara ni nani?eti umejiita wewe unauelewa wewe!!!?uelewa gani ulio nao mkuu zaid ya kutia aibu au tatizo lako ni elimu ndogo?
 
Zitto ulikuwa unakuja vizuri angalia ulopokaji mwingi unakufanya watu wakujue vizuri wa some watanzania wakoje nawe uende no hivyo hivyo cha kwanza watanzania ni waoga na huwa hawspendi bla bla za mane no mengi .lissu hana mvuto. Kwakweli ukimungalia tu u najua anadharau chadema mmecheza lafuuu
Jifunze matumizi sahihi ya herufi. Kwenye L usiweke R .mnaharibu ladha ya lugha ya kiswahili.
 
Na bado mpaka ifike 2020 mtakuwa mmewafunga jela wote ili kwenye uchaguzi mshindane na wakina Fahmi Dovutwa.
 
Nawashauri kabla ya kutoa matamko yenu na kushauri serikali yetu hebu jaribuni kushirikisha kwanza hekima, busara na maarifa viwape mwelekeo kabla ya kutenda. Karibuni mmekuwa na mikurupuko mingi ya kisiasa inayowaweka rehani. Nawashauri mjitafakari sana kwani mnatuchosha sana watanzania wenye uelewa na tunaojitambua kimawazo na kiakili.
Unachoshwa mwenyewe sio wengine usiwasemee watu wengi wenye,njaa,ukame na mzunguko wa pesa kuwa shida, watanzania wengi wanawakubali kwa sasa kwani bila wao mkulu huenda akaendelea kuongeza Udikteta na kutumia pesa za umma kujenga Airport chato,kununua ndege, kumpatia Lipumba pesa za Umma kwa ajili ya kuua CUF na kudhoofisha ukawa.
 
Back
Top Bottom