achana naye fanya issue zako huo muda unaopoteza utakuja kujuta!Nimeajiriwa kwenye kampuni moja yapata mwaka sasa..kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana ila nikawa naogopa kumwambia kwani binti mambo safi ni mtu anajiweza anamiliki harrier lexus..sasa kuna siku nimechelewa kutoka ofisini wakati natoka nikasikia akipiga story na mwenzake akimwambia jinsi gani ananikubali alienda mbali zaidi na kunisifia kuwa hajawahi kumwona kk handsome kama mm(wakati akiongea maneno haya hakuniona) basi kidume nikapata ujasiri wa kumtongoza..mpka napoandika hii message yapata mwaka sasa huyu dada hajanikubalia ananionyesha matumaini tu ila sijawahi kukubaliwa....sijui nafanyaje jamani
HUWEZI KUIMBISHA MWAKA MZIMA UNAFUKUZIA DEMU?Nimeajiriwa kwenye kampuni moja yapata mwaka sasa..kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana ila nikawa naogopa kumwambia kwani binti mambo safi ni mtu anajiweza anamiliki harrier lexus..sasa kuna siku nimechelewa kutoka ofisini wakati natoka nikasikia akipiga story na mwenzake akimwambia jinsi gani ananikubali alienda mbali zaidi na kunisifia kuwa hajawahi kumwona kk handsome kama mm(wakati akiongea maneno haya hakuniona) basi kidume nikapata ujasiri wa kumtongoza..mpka napoandika hii message yapata mwaka sasa huyu dada hajanikubalia ananionyesha matumaini tu ila sijawahi kukubaliwa....sijui nafanyaje jamani
Nimeajiriwa kwenye kampuni moja yapata mwaka sasa..kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana ila nikawa naogopa kumwambia kwani binti mambo safi ni mtu anajiweza anamiliki harrier lexus..sasa kuna siku nimechelewa kutoka ofisini wakati natoka nikasikia akipiga story na mwenzake akimwambia jinsi gani ananikubali alienda mbali zaidi na kunisifia kuwa hajawahi kumwona kk handsome kama mm(wakati akiongea maneno haya hakuniona) basi kidume nikapata ujasiri wa kumtongoza..mpka napoandika hii message yapata mwaka sasa huyu dada hajanikubalia ananionyesha matumaini tu ila sijawahi kukubaliwa....sijui nafanyaje jamani
Shule za upili kwani huku kericho, machakosi au kiambuu?Shule za Upili zimeshafunguliwa sijui kwa nn wengine hawajaenda.
Hivi bado kuna kutongozana siku hizi??Nimeajiriwa kwenye kampuni moja yapata mwaka sasa..kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana ila nikawa naogopa kumwambia kwani binti mambo safi ni mtu anajiweza anamiliki harrier lexus..sasa kuna siku nimechelewa kutoka ofisini wakati natoka nikasikia akipiga story na mwenzake akimwambia jinsi gani ananikubali alienda mbali zaidi na kunisifia kuwa hajawahi kumwona kk handsome kama mm(wakati akiongea maneno haya hakuniona) basi kidume nikapata ujasiri wa kumtongoza..mpka napoandika hii message yapata mwaka sasa huyu dada hajanikubalia ananionyesha matumaini tu ila sijawahi kukubaliwa....sijui nafanyaje jamani
Jamaa muongomkuu we umeanza kazi lini mbona sentensi zako zina utata..!
rekebisha halaf njoo utuongopee tena!