Recent content by ATB stoic

  1. ATB stoic

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na hili la HESLB

    Nilikua na hiyo shida wakati naomba HELSB mwaka jana sikia badilisha cheti cha kuzaliwa RITA online kwa refference ya cheti cha FORM 4 then nenda kabadilishe NIDA kwa kigezo jina limekosewa , ni process kama ya mwezi na nusu hivi na gharama kama elf 50 tu
  2. ATB stoic

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

    NAUNGA MKONO HOJA . Wao huweka kikwazo cha kipaji ili kuwabeba wanao wataka na kuwaacha wasio wataka mfano HARMONIZE na BSS ukilinganisha na waliotoboa BSS. Fikiri pia kama kuna vipaji mbalimbali kwanini wengine hujifunza kufanya vitu hivo mfano kuimba, kuigiza na mpira wa miguu kisha hufanya...
  3. ATB stoic

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    OVOLO, OUTDO,ORZO na nyingine nyingiiiiii
  4. ATB stoic

    JamiiForums Tanzania Kanisa linalo muabudu Rapper Lil Kim kutoka Marekani kama " Muungu wao mkuu" ( Supreme Goddess)

    Labda niwaeleze jambo dogo wasanii ni wapotoshaji katika jamii ila napenda sana wasanii wa marekani wako realy sana we fuatilia mistari ya nyimbo zao wao ni wafuasi wa shetani amini nami pamoja na wafatilie utagundua usiyoyajua
  5. ATB stoic

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania. Tunaanza na Ramadhan Omari Mapuri

    Mr watu wapo tayari kupiga kura na kugombania nyadhifa mbalimbali ila tunataka tume huru ya uchaguzi sio kuenda kupoteza muda juani kupanga mstari.
  6. ATB stoic

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli wowote hapa?

    Hapana. Kafir ni mtU anyepinga ukweli yaan hata muislam anaweza kuwa kafiri pia upotevu wa Amani huchangiwa na sababu nyingi juu ya uongozi wa taifa usika
  7. ATB stoic

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Wakuu Nina kiwanja cha 50ft*40ft ramani hapo chini tafadhar naomba makadirio ya mahitaji . Natanguliza shukuran
  8. ATB stoic

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya kuanza Kwa ujenzi

    Habarini Wana Jf na wajenzi wa humu Kama kichwa kinavyo sema nina eneo dogo tu ft 50*40 lenye ardhi ya mchanga mweupe kama ule wa kujengea . Wazo langu ni kujenga vyumba vitatu ,sebure,jiko na vyoo vya public ramani hapo chini. Naomba kupata mchanganuo juu ya gharama za boma kabla ya...
  9. ATB stoic

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi bora inayouza viwanja dar es salaam

    Mawasilino yao tafadhar
  10. ATB stoic

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi bora inayouza viwanja dar es salaam

    Kigamboni na chanika
  11. ATB stoic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini upo single?

    Kwa upande wangu nipo single Kwa sababu sijapata ninaye mpenda
  12. ATB stoic

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft

    Mm
  13. ATB stoic

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft

    Uwezo wako na uwezo wa mpinzani
Back
Top Bottom