Recent content by Aswel

  1. A

    Msaada lumia 532 touchscreen hai respond

    Habari za kazi wakuu, naomba msaada nifanyeje simu yangu ya lumia 532 touchscreen yake inasumbua kwa mfano back, home na search hazifanyi kazi kabisa pia upande wa meseji herufi za juu yaan qwertyuiop hazifanyi kazi pia. Nimejaribu kufanya factory reset lakin hakuna kitu, naombeni ujuzi wa ziada...
  2. A

    Mfumo wa GPA wafutwa na Waziri Ndalichako

    Safi sana, nampa big up, elimu yetu ilikuwa taabani kwa kuchakachuliwa na siasa. Aangalie na vitabu vya kufundishia navyo ni cancel inayodhorotesha elimu yetu.
  3. A

    Naomba ushauri kuhusu ajira hii ya ualimu

    Pole sana kijana, mi ushauri wangu endelea kusubiri kama kuna dalili za kusamehewa vinginevyo fanya mambo yako mengine, kwa ajira ulioomba ukiwa chuo itatoka lakini utakapoenda kuripoti kituoni database itakutema kwasababu details zako tayari zipo, hivyo utaambiwa rudi kituoni kwako. kuna jamaa...
  4. A

    Msaada:Subwoofer kuunguza king'amuzi

    Kama unataka sauti kubwa nunua home theatre utumie na king'amuzi, mm ninatumia hiyo kwa mwaka sasa sijapata tatizo lolote.
  5. A

    Nataka kununua bajaj ushauri please

    Ni kweli kiongoz ngoja tujaribu fursa hii
  6. A

    Nataka kununua bajaj ushauri please

    Asanteni viongoz kwa dondoo zenu
  7. A

    Nataka kununua bajaj ushauri please

    Inategemea na maeneo itakapokuwa inafanyia kazi na usimamiz pia
  8. A

    Nataka kununua bajaj ushauri please

    Wadau naomba ushauri wenu kuhusu bajaj kama kuna model tofauti, ni ipi nzuri na inagharimu shilingi ngapi? kama kuna specification zingine naomba mnijuze kwani mim sio mtaalam wa vitu hvi. Nawasilisha
  9. A

    Mnazionaje huduma za Azam tv?

    kwangu bado inanizingua.
  10. A

    Mnazionaje huduma za Azam tv?

    Daah! Wadau azamtv imekata kwangu tangu saa sita mchana signal zinakuja zinatoka, hvi sababu yaweza kuwa ni nni wataalam? Au ni hali ya hewa? Kwamaana asubuh nimeangalia vzuri, mvua ilipoanza tu ikakata, je kwenu vp mvua ikinyesha huwa inakata mawasiliano?
  11. A

    Msaada wa Servlet codes

    Wana jf habari zenu, kuna kaproject binafsi ninakafanya ka kutengeneza website kwa kutumia jsp na servlet, sasa nikilog out halafu nikarudi back kwa kuclick back button ninaweza kuaccess tena. Naomba anayeweza kunisaidia code ya kufanya nisiweze kuaccess tena baada ya kulog out. Naomba kuwasilisha
  12. A

    Mnazionaje huduma za Azam tv?

    Wakuu leo nimezunguka maduka ya kariakoo nikitafuta hvyo visimbuzi vya azamtv nimekosa, naomba nielekezwe wapi nitavpata nataman niwenacho.
  13. A

    Mwalimu wa English na History [Diploma]

    Your findind or your looking for, hapo umejikwaa watakuona upo shake hata somo lenyewe ulilosomea
  14. A

    Profesa Jay akabidhiwa Barcode yake na kampuni ya GS1

    Ongeza juhudi zaidi, tupo pamoja prof j
Back
Top Bottom