Recent content by ASSISANT

  1. A

    Ving'amuzi vya Continental kumbe hovyo kabisa!!

    Mimi nina uchungu nao hawa jamaa, najuta kununua king'amuzi chao
  2. A

    Mameya Dar wamtembelea kamanda Lowassa

    Big up makamanda. Hakuna kulala
  3. A

    Rais Kikwete akabidhi Polisi Magari 399 mapya kati ya 777 leo Kurasini jijini Dar es Salaam

    mkuu mbona umeogopa kuweka jibu sahihi? 777 x 150,000,000 = 116,550,000,000/-
  4. A

    Nimegundua wanawake huwa wana expire date

    Hayo mambo yapo sana mkuu. Mimi mwenyewe yalishanikuta hayo ila nilikuwa na tabia moja tu. Forget and burry. Tukikutana huko mbeleni ni kaka na dada, hata nikikusaidia inaishia kaka na dada. Mbaya zaidi nina sura ya kazi zaidi, kwa hiyo sinaga tabia za kuchekelea chekelea kama mkwere.
  5. A

    Inasemekana kwamba 90% ya wafanyakazi wa serikalini ni waoga wa kufanya interview kwingine!

    Wengine kwenda private wanaona kero aisee kule wanabanwa morning to evening. Serikalini watu wanajua hakuna wa kukutight kivile, mtu anaweza kuwa na mshahara wa laki 6, lakini shughuli zake nje ya ajira inampa 2m per month. Alipata wapi muda wa kuzisimamia? Jibu ni kwamba kaiibia serikali
  6. A

    Msaada kuhusu mwenge university

    Nauliza kama kuna mtu anayeelewa vizuri mazingira ya hapo au aliye hapo anijuze. Moja, naomba kujua kuhusu location hicho chuo kipo sehemu gani hapo Dar. Mbili, naomba kujua kuhusu gharama za maisha, kuishi hostels au kupanga gheto mtaani ipi ina afadhali kidogo. Itapendeza kama nitajua rates...
  7. A

    MUCE hali tete kifedha

    Umeongea ukweli ,mtupu, hali ni mbaya kuliko maelezo. Chuo kinadaiwa kuliko maelezo
  8. A

    Kwa nilichoshuhudia leo, namhurumia sana mwakalebela

    Mkuu kapicha nilitamani sana kuchukua ila bahati mbaya kasmartfoni yangu nilipoteza kama wiki moja iliyopita sasa nimebaki na tochi tuu, samahani mkuu ila very soon i will be back
  9. A

    Kwa nilichoshuhudia leo, namhurumia sana mwakalebela

    Kama hauko Iringa unaweza kujisemea tuu ili mradi ufurahishe moyo wako. Waliopo hapa wanaujua ukweli, wamejinyamazia na vichinjio vyao wanasubiri tu. Kama hiyo mitutu ina uwezo wa kuwamaliza wana Iringa wote basi itakuwa heri.
  10. A

    Kwa nilichoshuhudia leo, namhurumia sana mwakalebela

    Leo mida ya mchana nilikuwa mitaa ya soko kuu la Iringa. Mara nikasikia kelele, kugeuka Nikaona kundi la watu kama 20 hivi lenye nguo na kofia za kijani na njano wanaingia ndani ya soko kwa maandamano na shamrashamra, wakipita kila mstari wa zile fremu ndani ya soko wakiimba nyimbo za CCM...
  11. A

    Iringa kimenuka

    Hiyo story uhalisia wake nimesimuliwa na mtu aliyekuwepo eneo la tukio. Ilikuwa hivi, wakati Magufuli anasubiriwa, askari walifunga njia, hivyo mabasi na magari yote kwa ujumla yakazuiwa ili kupisha msafara, likiwepo basi la Nganga. Wakati wanasubiria msafara uje, abiria wakashuka chini. Baadaye...
  12. A

    William Lukuvi kumrithi Mizengo Pinda

    Nchi hii kuna vituko mweeee!!! Lukuvi akiwa PM, au Mwakalebela akiwa mbunge wa Iringa mjini, nahama nchi
  13. A

    Karibuni MUCE

    Wewe ulikuwa unasomea nini mkuu?
  14. A

    Karibuni MUCE

    Hapa msuli tuu, kama unataka mademu wazuri nenda Iringa University (zamani Tumaini), au Rucu
  15. A

    Katiba inasemaje? Mshindi wa uchaguzi Tanzania ni chama kilichoshinda urais au wabunge wengi?

    Na je kwa katiba iliyopo, ikatokea CCM akashinda Magufuli alafu UKAWA wakawa na wabunge wengi, au vice versa i.e. UKAWA akashinda Lowasa, alafu CCM wawe na wabunge wengi, je hapo nchi itaongozwaje? Rais atakubali kufanya kazi na waziri mkuu wa chama cha upinzani?
Back
Top Bottom