OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,013
- 114,359
Mameya wa Ilala na Kinondoni wamemtembelea Mh.Lowassa nyumbani kwake na kupata nasaha za nguvu kutoka kwa Lowassa.
Mh.Lowassa amewaasa mameya kupiga kazi na kuionyesha Tanzania na dunia kuwa watakayoyafanya Dar ndio angeyafanya kwa Watanzania wote.
Lowassa amelaani zoezi la bomoabomoa na kusema ni kinyume na haki za binadamu.
Aidha Lowassa amesisitiza madiwani wahakikishe mapato yanakusanza kwa wingi ili kuwezesha utoaji wa huduma.
Aidha madiwani wamemshukuru Kamanda Lowassa kwa mchango wake mkubwa kwenye ushindi wao.