Recent content by Asovene

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye uthibitisho kuwa Magufuli anapambana na rushwa auseme hapa, zaidi ya kuchochea na hawaguswi

    kaini alimwaga damu ya ndugu yake ikaleta laaana lakini wayaudi wakamwaga damu ya ndugu yao YESU ikaleta ukombozi na baraka
  2. A

    JamiiForums Tanzania MWAKA MPYA WA MASOMO YA ELIMU YA JUU

    Kwanza niwapongeze sana vijana na watu wote mliyofanikiwa kudahiliwa katika kujiunga na masomo ya juu katika vyuo mbalimbali Kwa mliyobahatika kupata mkopo niwashauri kuja na nguvu binafsi yaani jitaahidi kwenda na fedha za matumizi za kutosha. hali ya sasa si kama zamani lolote laweza kutokea.
  3. A

    JamiiForums Tanzania ‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"

    ndugu mayala au njaaa kama mh.bulldozer anavyopenda kukuita asante kwa kuniwezesha kusoma hayo matusi nilikuwa sijayaona next time tafadhali weka tena
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanyeje huyu binti wa mkoani? Kaniomba nimtumie nauli aje, baada ya kumtumia kanichenjia!

    subiri arudi mwezini sasa leo akija utafanyaje
  5. A

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 422, atangaza nafasi 3000 za wanajeshi wapya

    Mchezo wa siasa za Arusha kweli ni nchi ya kula uliwe
  6. A

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 422, atangaza nafasi 3000 za wanajeshi wapya

    Hotuba za mh.rais ni copy and pest hivi hakuna mambo mengine kila siku hewa, hewa ,hewa. Nimeanza kukuchukia mjomba sherehe za Jeshi zinaunganishwa na siasa hili ni tatizo na mjomba umeamua kuongeza kikosi cha vijana elfu 3 walete tu ili ujiimalishe.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Vitu vifuatavyo vinauzwa.

    nahitaji screen mkuuu lakini mbona bei sawa na dukani?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Maneno na kauli maarufu kwenye utawala wa JPM

    Rais wa masikini kwenye nchi tajiri inawezekana anahitajika rais wa matajiri kwenye nchi masikini
  9. A

    JamiiForums Tanzania Balozi atamani kumpeleka Rais Magufuli Marekani kwa wiki tano

    Hata usipoenda wakitaka kufanya chochote inawezekana
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kutongoza/ kutongozwa na jini? Ikawaje?

    majini huwa hayatafutwi ila kuna tabia ukiwa nazo yatakufuata tu.... kwahiyo usiangaike kuyatafuta we anagaika natabia zao alafu kila kitu kinakuwa automatic... Uzuri wa jini anauwezo wa kubadilika na kuwa mwanamke au mpenzi umpendae kiumbo na tabia. Tabia za mvuto wanazopenda majini...
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kutongoza/ kutongozwa na jini? Ikawaje?

    Ukikutana na jini hutatamani kumwachaa ila uwe shujaa wakati fulani. Nilikutana na chini anakwenda shule evening class, akanambia anasoma ili kurudia mtihani wake wa kidato cha nne... Nilimshawioshi asiende shule badala yake tukaenda geto... yaani anaomba kitu kama huna basi kufumba na kufumbua...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Kuna wanasiasa wameahidiwa 10% kuweka presha ndege kuzuiwa

    sio kama ndege imekamatwa ila imezuiliwa isitoke..... Joseph plus josep= msukuma +msukuma ..naona wanasukumana
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanajeshi wa Tanzania wanapenda kujichukulia hatua za kisheria mikononi?

    Tatizo la nchi zetu tumefukuza wakoloni lakini bado tunaishi nao kichwani hizo tabia zilikuwa za jeshi la kikoloni
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

    hapo mzee umepewa condition kuwa kwa kuwa wewe ndo umesababisha ni lazima umpatie mtaji si ajabu kakamatwa na nondo kafukuzwa chuo... au uwezo mdogo alishidwa kuwa busy na course work anawezaje kuwa busy kwa kazi ya kujiajiri?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Marais wa nchi ambao husafiri kwa nadra nje ya nchi zao

    sio nje tuhata mikoa ya nyanda za juu kusini mikoa ya mbeya na iringa hajawahi kuonekana
Back
Top Bottom