‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"

Wanabodi,

Uongo ukisemwa sana na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, mwisho wake hugeuka ukweli, baada ya kutokukemea magazeti ya nje kuandika uongo kumhusu rais wetu na kumuita majina ya ajabu ajabu, huku sisi na serikali yetu tumenyamaza , sasa ni zamu ya jarida la The Economist, limemtukana rais wetu "dinasauria wa Dodoma" kisha wakamuita a bad president na hadi kumtukana Baba wa Taifa, "a bullheaded socialist!". Pia kumsingizia mambo mengi ya uongo katika toleo lake la hivi karibuni kama nilivyonukuu hapa.

Wakuu Mwanakwetu na Kibanga, kwanza asanteni kwa bandiko hili, pili
tusikubali uwongo huu wa gazeti la The Economist

Uongo Mbalimbali ambazo Hazijakanushwa.
Hi ni baadhi ya uongo mbalimbali ambazo hazijakanushwa hadi leo ambazo mimi kama Mtanzania Mzalendo, kazi yangu ni kushauri tuu.
  1. Rais wetu alipotuhumiwa kuhongwa suti nilipinga na kushauri.Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi ...
  2. Hata kelele kuhusu udikikiteta wa Magufuli ziliposhika kasi nilishauriUdikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...
  3. Magufuli aliposemwa vibaya na SABC, nilishauriSerikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu ...
  4. Rais Magufuli aliposemwa vibaya kuhusu Mimba za utotoni, pia nilishauriJe, Huku Sio Kudhalilishwa Kwa Rais Wetu na Media za Nje?. Jee ...
  5. Juzi kati hapa serikali yetu ilipoitwa Sinister na Authoritarian, pia nilishauri
    Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli ...
Hitimisho.
Uongo ukisemwa sana sana na kuachwa bila kukanushwa, mwisho wake, sio tuu utaonekana kama ni ukweli, bali una hatari ya kugeuka kuwa ukweli kwa sababu kauli huumba!.
Natoa wito kwa Watanzania wote wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali rais wetu kutukanwa. kudhalilishwa na kusingiziwa uongo huku sisi wazalendo tupo na tumenyamaza tuu kimya, bila kufanya lolote. Tusikubali.

Paskali

Dawa huwa ni kumuunga mkono wa nguvu Kiongozi wetu. Nilisikitika sana pale upinzani ulipoamua kukosoa serikali yetu wakiwa Nairobi, Kenya ugenini, Hiyo picha haikuwa nzuri hata kidogo. mambo kama hayo ndiyo wanayotumia na yanawapa nguvu kusema wanachokitaka. Lakini tukisimama pamoja watashindwa. Walipe tu! Wamekasirika kwa sababu mlango wa kutunyonya umefungwa.
 
Napigwa vumbi la chaki miaka miwili,walimu wawili shule nzima nilistahili nipande daraja matokeo yake umenyima hadi annual increment na unataka na unataka nikusifie kwa moyo upi hasa?
 
Wanabodi,

Uongo ukisemwa sana na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, mwisho wake hugeuka ukweli, baada ya kutokukemea magazeti ya nje kuandika uongo kumhusu rais wetu na kumuita majina ya ajabu ajabu, huku sisi na serikali yetu tumenyamaza , sasa ni zamu ya jarida la The Economist, limemtukana rais wetu "dinasauria wa Dodoma" kisha wakamuita a bad president na hadi kumtukana Baba wa Taifa, "a bullheaded socialist!". Pia kumsingizia mambo mengi ya uongo katika toleo lake la hivi karibuni kama nilivyonukuu hapa.

Wakuu Mwanakwetu na Kibanga, kwanza asanteni kwa bandiko hili, pili
tusikubali uwongo huu wa gazeti la The Economist

Uongo Mbalimbali ambazo Hazijakanushwa.
Hi ni baadhi ya uongo mbalimbali ambazo hazijakanushwa hadi leo ambazo mimi kama Mtanzania Mzalendo, kazi yangu ni kushauri tuu.
  1. Rais wetu alipotuhumiwa kuhongwa suti nilipinga na kushauri.Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi ...
  2. Hata kelele kuhusu udikikiteta wa Magufuli ziliposhika kasi nilishauriUdikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...
  3. Magufuli aliposemwa vibaya na SABC, nilishauriSerikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu ...
  4. Rais Magufuli aliposemwa vibaya kuhusu Mimba za utotoni, pia nilishauriJe, Huku Sio Kudhalilishwa Kwa Rais Wetu na Media za Nje?. Jee ...
  5. Juzi kati hapa serikali yetu ilipoitwa Sinister na Authoritarian, pia nilishauri
    Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli ...
Hitimisho.
Uongo ukisemwa sana sana na kuachwa bila kukanushwa, mwisho wake, sio tuu utaonekana kama ni ukweli, bali una hatari ya kugeuka kuwa ukweli kwa sababu kauli huumba!.
Natoa wito kwa Watanzania wote wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali rais wetu kutukanwa. kudhalilishwa na kusingiziwa uongo huku sisi wazalendo tupo na tumenyamaza tuu kimya, bila kufanya lolote. Tusikubali.

Paskali
Hivi 'kwa mamlaka aliyonayo' hawezi kufungia magazeti ya nje kwa nana ile ile anavyofungia ya ndani?
 
Screenshot_2017-10-27-01-15-15.png
 
ndugu mayala au njaaa kama mh.bulldozer anavyopenda kukuita asante kwa kuniwezesha kusoma hayo matusi nilikuwa sijayaona next time tafadhali weka tena
 
Wanabodi,

Uongo ukisemwa sana na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, mwisho wake hugeuka ukweli, baada ya kutokukemea magazeti ya nje kuandika uongo kumhusu rais wetu na kumuita majina ya ajabu ajabu, huku sisi na serikali yetu tumenyamaza , sasa ni zamu ya jarida la The Economist, limemtukana rais wetu "dinasauria wa Dodoma" kisha wakamuita a bad president na hadi kumtukana Baba wa Taifa, "a bullheaded socialist!". Pia kumsingizia mambo mengi ya uongo katika toleo lake la hivi karibuni kama nilivyonukuu hapa.

Wakuu Mwanakwetu na Kibanga, kwanza asanteni kwa bandiko hili, pili
tusikubali uwongo huu wa gazeti la The Economist

Uongo Mbalimbali ambazo Hazijakanushwa.
Hi ni baadhi ya uongo mbalimbali ambazo hazijakanushwa hadi leo ambazo mimi kama Mtanzania Mzalendo, kazi yangu ni kushauri tuu.
  1. Rais wetu alipotuhumiwa kuhongwa suti nilipinga na kushauri.Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi ...
  2. Hata kelele kuhusu udikikiteta wa Magufuli ziliposhika kasi nilishauriUdikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...
  3. Magufuli aliposemwa vibaya na SABC, nilishauriSerikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu ...
  4. Rais Magufuli aliposemwa vibaya kuhusu Mimba za utotoni, pia nilishauriJe, Huku Sio Kudhalilishwa Kwa Rais Wetu na Media za Nje?. Jee ...
  5. Juzi kati hapa serikali yetu ilipoitwa Sinister na Authoritarian, pia nilishauri
    Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli ...
Hitimisho.
Uongo ukisemwa sana sana na kuachwa bila kukanushwa, mwisho wake, sio tuu utaonekana kama ni ukweli, bali una hatari ya kugeuka kuwa ukweli kwa sababu kauli huumba!.
Natoa wito kwa Watanzania wote wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali rais wetu kutukanwa. kudhalilishwa na kusingiziwa uongo huku sisi wazalendo tupo na tumenyamaza tuu kimya, bila kufanya lolote. Tusikubali.

Paskali
Siwezi kua mzalendo kwa nchi ambayo viongozi wanaopewa vyeo wanastahili kua jela full stop
 
27b6e9afe03b4fd73beb4016a3e01cd5.jpg
Screenshot_20171027-141618.png

Kwani iwe yeye Magu tu na hawa wanasemwa.

Wakati Putin wa Russia kasemwa vibaya mwenzake Xi Jinping wa China anamiminiwa sifa.
Pascal njaa yako iweze.
 
Back
Top Bottom