Recent content by Asili Tanganyika

  1. Asili Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

    Acha ufaza hebu tiririka hapa! Wanao wajue mzee mtu hatari sana...
  2. Asili Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Magufuli afyeka 50 waliokuwa kwenye orodha ya kushiriki ziara ya Madola

    Unadhani toka mchakato uanze wamepona!? Lazima omo ifure!!
  3. Asili Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Mwongozo juu matumizi ya "Loud Speakers" kwenye Nyumba za Ibada katikati Makazi ya raia

    Mkuu unajivunia kukaa mbali na tatizo wakati linakuja upande huo!?
  4. Asili Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Mwongozo juu matumizi ya "Loud Speakers" kwenye Nyumba za Ibada katikati Makazi ya raia

    Tunajua ni muhimu lakini sheria za uanzishwaji sehemu husika zikifuatwa haitakuwa na madhara,chukulia kanisa kama la Roma mathalani huwa wanachukua eneo kubwa kiasi kwamba shughuli zao za kiroho haziathiri shughuli za mwili za wengine,tatizo la haya baadhi ya makanisa modern hata ndani kwa mtu...
  5. Asili Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Mwongozo juu matumizi ya "Loud Speakers" kwenye Nyumba za Ibada katikati Makazi ya raia

    Wewe ni mwerevu ndio ila mtoa mchangiaji hajasema makanisa yafutwe,alichomaanisha yawepo mahala panapofaa,isiwe sehemu ya makazi ilikuondoa kadhia kwa wasio husika!
  6. Asili Tanganyika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MPs throw out proposal to punish gays with death

    So does it mean accepted? Rejected?
  7. Asili Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, Sumaye, Lowassa na hekaya za abunuwasi

    Madebe tupu yameamini keki imekuwa chungu.
  8. Asili Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa CHADEMA makao makuu waikosesha CHADEMA Jimbo la Kyela

    Naona unaleta ajenda za ukabila umetumwa na nani?
  9. Asili Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Tamko BAVICHA kuhusu mauaji ya Mwenyekiti wa CHADEMA Geita

    Kabisa UMOJA WA KITAIFA
  10. Asili Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Umri na ndoa

    Labda Salt,Chaga etc, hata hawa wa chipx,kipaja na mayonise?
  11. Asili Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa lafikia trillion 40

    Maana wanapiga mbio kuelekea bungeni bila hata soni!
  12. Asili Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa lafikia trillion 40

    Nadhani tuwakamue wabunge maana wanakiherehere cha kujifanya wako pamoja nasi tufute posho ya makalio,mashangingi na utumbo wa mil 250 kama mafao yao tuone kama deni halitaisha na wakatukopa sisi
  13. Asili Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Hatari: Nyangumi akutwa amekufa ufukwe wa Coco, wananchi wachangamkia kitoweo na mafuta

    Unawasema hawa askare wetu wa Divisheni 5 mkuu
Back
Top Bottom