Recent content by Ashoboza Kabalim

  1. A

    Mabadiliko ni sasa, Iramba Magharibi

    Kaka, hmjui vizuri Longoi, wkt wa serikali za mitaa ni hasan pekee ndiye aliyewasaidia wagombea wa cdm kampeni na kutengeneza mihuri vijji vingi kama vile Ndulungu,nsonga,mgungia,misuna,mbelekese, urugu,ujungu,kisonga, msai,tyeme,shelui,ulemo,kyengege etc amefika wakati wa kampeni na alikuwa...
  2. A

    Mabadiliko ni sasa, Iramba Magharibi

    Sana kamanda. Hakuka hivi viatu vinakufaa. Ni watu kama nyie wenye uthubutu watakaoleta ukombozi wa Kweli Iramba.Tuko nyuma yako kaka. Tunahitaji vijana km wewe wa kuikomboa nchi hii. Utasimama, utatetea na kushindaaaa. Godluck bro.
  3. A

    A 48-hour ultimatum given by the UN peacekeeping mission in DR Congo has EXPIRED

    So what? Mwishowe UTAJITUKANA mwenyewe. Do you think properly WEWE? Comment hoja za maana, JF ni Critical thinkers, sio wasema-sema hovyo.. About more than 150,000 reading this.. Just make your comment LOGICAL & not mere jokes. Hili ni jukwaa la Siasa, sio JOKES.
  4. A

    A 48-hour ultimatum given by the UN peacekeeping mission in DR Congo has EXPIRED

    Some times THINK before you make a comment. Utaishia kuwa mtu wa KUTUKANA TUKANA tu hata pasipo na mantiki. Yaya Toure
  5. A

    Real Problem Between Kagame and Kikwete is Snitching

    When u make a followup closely to the rude reactions testmoned by the Rwanda Government, obviously Kagame is guilty...
  6. A

    Makamba Jr, DSTV Wamewashinda Kuhusu Channel 5 Za Bure?

    Now this sounds better. Nimefuatilia argument yenu head.to.toe, am now convinced with this. Hata Egypt pamoja na Fb kuoperate internationally, waliweza ku'establish local com. laws za kui'ban such that getting access to it by local people (who were on movement) were illegal. What's special on...
  7. A

    Ushahidi wa Mwigulu Nchemba kuhusika na EPA huu hapa

    Nahsi kuna mamluki ameamua tu kuleta hii thread ili makada wa CCM wamshambulie Mnyika. 2mewas2kia.
  8. A

    STARTV: Maamuzi ya NEC-CCM kuelekea 2015

    wa SAUT Mwanza. Kwa nini suala la mfumo wa muungano linaminywa? CCM imetoa elimu gani juu ya unyeti wa misingi ya maazimio yao?
  9. A

    CCM: Tutazindua kampeni kwa kishindo leo Arumeru

    Duh! Katika post zote, we ndo doa jeusi (una maoni mgando). Jenga hoja, Magamba mna jipya Arumeru?
  10. A

    Wanaharakati na Juhudi za kuikwamua Jamii ktk Lindi la Umaskini LIVE ON STAR TV

    wa SAUT Mwanza. Swali kwa mwamaharakati: Kwanza, kwa nini wanaharakati wengi Tanzania wamejikita katika siasa zaidi? Pili, mbona nguvu nyingi za wanaharakati zinaonekana mijini zaidi ya vijijini ambako haki zinakiukwa?
  11. A

    Siasa za HESLB zinawalaza njaa wanachuo!

    Vyuo vingine vimeshafunguliwa 2nd semister karibu wiki ya 3. e.g. SAUT
  12. A

    Kimbelembele cha CHADEMA kimewatokea puani

    Nilidhani mtoa mada angekuja na mpango mbadala wa kuwakomboa wananchi wa Tanga kiuchumi kumbe ni siasa tu. Ukiwa kwako umekalia sofa unakula kodi ya umma kupitia siasa, know that the world is different out there!
  13. A

    Siasa za HESLB zinawalaza njaa wanachuo!

    Teh teh teh teh! Siasa za dini hadi kwenye utumishi wa umma, kuna haja ya nchi hii kujivua gamba!
  14. A

    Siasa za HESLB zinawalaza njaa wanachuo!

    Ikiwa ni zaidi ya mwezi sasa zitoke tetesi kwa wanachuo kuletewa fedha za kujikimu, watendaji ndani ya bodi hiyo wamekuwa wakifanya mawasiliano yasiyo rasmi na wasomi hao kuwa fedha zimekwishatumwa vyuoni hivyo 'waukomalie' uongozi wa vyuo hivyo ili kupata fedha zao! Hii imeleta imani kuwa fedha...
  15. A

    Senior Tanzanian journalist arrested Ananilea Nkya

    Whe will the use of extra force put at end this country? Detaining our heroine is not merely suppression of women's initiatives; but also, blackmaling the agenda 4 woman empowerment mounted by the gvt itself!
Back
Top Bottom