Recent content by Ashk

  1. Ashk

    JamiiForums Tanzania Nini siri ya ugumu katika kurudisha deni hata kama pesa unayo?

    Na waswahili tulivyokua wagumu kulipa tumeweka msemo kukopa harusi kulipa matanga basi ujue kulipa pesa yataka moyo
  2. Ashk

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Duma aingia ndani ya gari la watalii Serengeti

    Binaadam kwa kukiogopa kifo tunakiogopa sana ila maisha yetu yote tuko katika risk ya kifo maana sisi wa pwani huku bahari tunasafiri tuu ila inatisha
  3. Ashk

    JamiiForums Tanzania Maisha yenye maana ni kusaidia haki na uadilifu kutamalaki kwa mujibu wa vile uwezavyo

    Wenye akili watakuelewa ila hekima ni muhim sana co kila kitu unatumia nguvu
  4. Ashk

    JamiiForums Tanzania Bomu la Nyuklia la USSR (Urusi ya zamani) lililoishangaza Dunia

    Wamezoea kuwaumiza waarab na waswahili sasa ni wakati wauumizana wenyewe kwa wenyewe
  5. Ashk

    JamiiForums Tanzania Diva: Kama huna milioni 500 huwezi kunioa

    Naona anachoringia yy mbona wenziwe wanacho au yake ya dhahabu
  6. Ashk

    JamiiForums Tanzania Mwanafizikia Stephen Hawking afariki dunia akiwa na miaka 76

    Mungu amlaze alipopatafuta
  7. Ashk

    JamiiForums Tanzania Wakihama mnasema wamenunuliwa

    Wanawake wa ofisini wanastahmili sana poleni ndio changamoto za kazi
  8. Ashk

    JamiiForums Tanzania Idadi ipi ya watoto inafaa kwa uzao wa zama hizi?

    Kila mmoja anakuja na riziki zake usihadaike na dunia zaa uwapatao
  9. Ashk

    JamiiForums Tanzania TANZIA Patrick Mbozu(CCM) Diwani wa Kata ya Isanzu Wilayani Nzega, afariki Dunia

    Watu wana mazarau kama wataishi milele duuh pumzi bwana acha tuu ztufanye tudhan kama tutaishi milele lakin wapiii
  10. Ashk

    JamiiForums Tanzania Hivi Tumaini Makene kavuliwa cheo na John Mrema?

    Hapa watu watapita bila ya kuchangia chungu hii
  11. Ashk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa utalii Kenya aitembelea Zanzibar

    Aliemuua mzee karume kiukweli aliwapata wazenji ila wangekua mbaali sana hata hivyo wapo wazalendo wanajitahidi
  12. Ashk

    JamiiForums Tanzania Yawezekana lengo la CHADEMA si kuchukua Dola

    Nyuz za kufikirisha si kawaida kupata wachangiaji wengi
  13. Ashk

    JamiiForums Tanzania Watani wa umri wa kuishi kwa Mtanzania waongezeka

    Mkuu waache watu wazaane kwa wingi Kwan riziki anatoa Mungu angekua binaadam ndie mtoaji aaah dunia tusingeikuta cc
  14. Ashk

    JamiiForums Tanzania Karibuni mniletee mazoezi yote ya kukata tumbo(sixpack)

    Na msosi uwe vyema co mazoez mengi baadae unapiga chips mayai na coca baridiii
  15. Ashk

    JamiiForums Tanzania Spana ya ajabu!kifaa hiki kitawasaidia sana mafundi pale Tabata dampo, kila fundi awe nacho

    Ubunifu ni kwa weupe tuu ila Africa kwa kuiga tuko vyema,asante mkuu umetuzindua tutafanyia kaz
Back
Top Bottom