Mwanafizikia Stephen Hawking afariki dunia akiwa na miaka 76

Mwanafizikia Stephen Hawking afariki dunia akiwa na miaka 76

Prayer kumweka "karibu" na Mungu.....halafu huyo mungu amfaidishe nini? Kama mtu anajitafutia chakula, malazi, afya njema, mahitaji mengine ya msingi.....what do you need a god for? Hebu nishawishi na mimi nianze kwenda kanisani mkuu!
huyo mungu ndiye aliyetengeneza mfumo hadi akawepo duniani,akiwa karibu nae hatodhulumu,hatodhuru,hatoiba nk..dunia isipokua na dhulma nafikiri unajua faida yake..watu wakiwa wanasaidiana(sadaka) nafikiri unajua faida yake
 
huyo mungu ndiye aliyetengeneza mfumo hadi akawepo duniani,akiwa karibu nae hatodhulumu,hatodhuru,hatoiba nk..dunia isipokua na dhulma nafikiri unajua faida yake..watu wakiwa wanasaidiana(sadaka) nafikiri unajua faida yake
Unataka kuniambia usingekuwa unasali leo hii ungekuwa mwizi, mbakaji, chinjachinja?
 
HAWKING, EINSTEIN Na GALILEO GALILEI
Je, wajua mwanasayansi mashuhuri Stephen Hawking aliyefariki dunia jana amefariki siku sawa na ambayo mwanasayansi mwingine maarufu Albert Einstein alizaliwa? Tarehe 14 Machi. Wote walifariki wakiwa na umri wa miaka 76. Prof Hawking pia alizaliwa siku ambayo mwanasayansi mwingine maarufu Galileo Galilei alifariki, tarehe 8 Januari.
Galileo Galilei (Kuzaliwa: 15 Februari 1564, Pisa, Italia
Kufariki: 8 Januari 1642, Arcetri, Italia)
Albert Einstein (Kuzaliwa: 14 Marchi 1879, Ulm, Ujerumani
Kufariki: 18 Aprili 1955, Princeton, New Jersey, Marekani)
Stephen Hawking (Kuzaliwa: 8 Januari 1942 Oxford, England
Kufariki: 14 Machi, 2018). Usijue haya peke yako, Mfahamishe mwenzako, kwa kumshirikisha kwenye sehemu ya kutolea maoni!View attachment 715747
Mwaka ambao kafa huyu hawkngs ndiyo mwaka ambao atazaliwa mwingine!!
Kuna siri kubwa sanaaa hapa.
Angalia wana saync weng sanaaa!
Vifo vyao na siku zao za kuzaliwa ni kuna matukio flan HIV utengenezwa huko.....
 
Wasiamini uwepo wa Mungu nao wanatakiwa ku-RIP? Au waanamini tu ukifa basi hamna kinachoendelea?
Wanaamini kuna Maisha, Tena nadhani Tafsiri yao ya maisha baada ya kufo ni Nzuri kuliko Tunayofindishwa Kwenye Vitabu
 
Back
Top Bottom