Recent content by ashidodi

  1. ashidodi

    Rangi wanazopaka wanajeshi mwilini wakiwa vitani huwa zinaashiria nini?

    Asante sana angalau nimeng'amua kitu, Kuna mijitu humu haijui hata thamani ya hili jukwaa inaropoka tu
  2. ashidodi

    Rangi wanazopaka wanajeshi mwilini wakiwa vitani huwa zinaashiria nini?

    Habari za Leo wadau wa humu ndani. Niende Moja Kwa Moja kwenye swali, mwenye uelewa anieleweshe. Rangi wanazopaka wanajeshi usoni wakiwa wanaelekea kwenye oparesheni za kivita huwa zinaashiria nini, au zinamaana gani?. Nawasilisha
  3. ashidodi

    Unaibiwa kila siku bila kujua, umejichanganya

    Zungusha swaga zako zote kwenye huu uzi lakini ukae ukijua MAISHA HAYANA MAANA YOYOTE...
  4. ashidodi

    Nina mparachichi ambao huzaa matunda mengi ila una tatizo la kuozesha matunda yake, Nifanyeje?

    Kunamtu amenishauri nichukue misumari niugongelee mche walau mitano hivi utakaa sawa
  5. ashidodi

    Utata wa swali hili ni kama halina majibu

    Comment yako ni ya maana sana na inabeba jibu lote la mleta uzi, hata Mungu aliumba maraika wengi sana lakini si wote walitimwa kufanya kazi nzito
  6. ashidodi

    Nina mparachichi ambao huzaa matunda mengi ila una tatizo la kuozesha matunda yake, Nifanyeje?

    Mbona miparachichi mingine haiwi hivo wakati imepakana tu kama mita tatu
  7. ashidodi

    Nina mparachichi ambao huzaa matunda mengi ila una tatizo la kuozesha matunda yake, Nifanyeje?

    Ndugu wadau wa kilimo, habari za majukumu Niende kwenye lengo, ninamparachichi ambao huzaa matunda mengi ila una tatizo la kuozesha matunda yake, uozo unaanzia ndani kwenye mbegu kuja nje ya tunda. Je, nifanye nini ili kuzuia hii hali. Uzao wa tatu sasa lakini tatizo ni lilelile. Naombeni...
  8. ashidodi

    Msaada: Naomba ufafanuzi kuhusu mafao ya NSSF

    Waungwana mpo, habari za majukumu! Niende kwenye mada husika. Mimi nilikuwa nafanya kazi sekta binafsi kwa muda wa miaka mitatu, nikaacha. Baada ya muda wa miezi miwili nikaanza kufanya kazi sekta ya umma. Je ninaweza kupata mafao yangu kutoka NSSF? Kumbuka kwa sasa nipo PSSSF. Naomba...
  9. ashidodi

    Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

    Lego lilifeli au lilifanikiwa? Kama lilifanikiwa kiintelijensia tunaita pandikizi.
Back
Top Bottom