kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 4,730
- 6,814
Kinachoniacha hoi hata watu wenye akili wanaenda kwa Mwamposa.
Kwa huo mfano wa Covid 19, unamaanisha ndio ukuu wa Mungu katuonyesha au umemaanisha nini sijakupata.Mungu ni roho na sayansi ni vitu vyenye kushikika. Kinachofikirisha ni ukweli kwamba hao wanasayansi Ijumaa au Jumapili wanaamkia misikitini na makanisani.
Ukiugua hata ukiwa mwanasayansi muda mfupi kabla hujaaga dunia ukiwa mkatoliki unaitiwa Padre kwa ajili ya upako wa mwisho.
Ukuu wa Mungu ni mkubwa kuliko uwezo wa wanasayansi wa kuja na majibu kwa shida za ulimwengu huu, Mfano hai ni namna Covid 19 ilivyotesa na kuua mamilioni mwishoni mwa muongo uliopita na mwanzoni mwa huu wa sasa.
Punguza kufuru, naamini umri wako ni mdogo kuna mengi utakuja kuyajua miaka ijayo.
Tuiheshimu nguvu kubwa ya muumba ipo siku zote. Tatizo la binadamu la kusahau mapema.Kwa huo mfano wa Covid 19, unamaanisha ndio ukuu wa Mungu katuonyesha au umemaanisha nini sijakupata.
Ni watu Wana depression kutokana na magonjwa ya Muda mrefu, hasa cancer, HIV, ujoblessKinachoniacha hoi hata watu wenye akili wanaenda kwa Mwamposa.
Mkuu , umeachanga ma file vibaya Sana.Tuiheshimu nguvu kubwa ya muumba ipo siku zote. Tatizo la binadamu la kusahau mapema.
Kule Italia muda mfupi kabla ya ugonjwa kuibuka walifanya ushenzi mwingi sana wa ushoga, ikafika wakati wa adhabu iliyo kuu wakafa maelfu kila kukicha.
Mwanasayansi ikifika Jumapili au Ijumaa anakuwa wa kwanza kanisani au msikitini, ndio ujue nguvu ya Mungu ilivyo.
Kiburi na ukosefu mzima wa unyenyekevu ndio sababu ya kwanza ya mipango yetu mingi kufia njiani.
Tumheshimu Mungu tusidanganywe na kiburi cha sayansi.Mkuu , umeachanga ma file vibaya Sana.
Na walioleta hii 'dhahania' hawana time nayo sasa, ila tuloletewa sasa...hatutaki kustukaHebu fikiria kwa makini kuhusu "mbinguni na motoni " ni mbinu tu za hawa wemye makampuni ya dini ili kutishia watu hasa wale wa dunia ya tatu.
Haya weka Contradictions hata mbili tu nianze nazo.Kama kumjua Mungu hakuhitaji akili za binadamu wewe umemjua kwa akiki gani, za popobawa?
Biblia ina contradiction kibao, nikikuwekea hapa huwezi kuzitatua.
Bisha.
Utawezaje kuiona mbingu au motoni wakati haziko kwenye huu ulimwengu wa 3D?Hebu fikiria kwa makini kuhusu "mbinguni na motoni " ni mbinu tu za hawa wemye makampuni ya dini ili kutishia watu hasa wale wa dunia ya tatu.
Zipo ulimwengu upi?Utawezaje kuiona mbingu au motoni wakati haziko kwenye huu ulimwengu wa 3D?