Recent content by ashery one

  1. ashery one

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

    Uzuri akizingua COVID 19 ipo itakuja na wimbi la tatu itasafisha ikulu sis wananchi tumeshindwa ila jeshi covid itafanya
  2. ashery one

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sikuizi mnakata umeme kila mara wakati mwingine hauna nguvu mnaunguza taa zetu kama kuna mgao mseme tujue tununue solar ma generator. Hata saizi umekatika hapa vikindu mkuranga
  3. ashery one

    Je, kuna umuhimu wowote wa kuwa na Laptop kwa kozi ya Medical Doctor (MD) mwaka wa kwanza?

    Nitafute upate package ya medical student kwa bei poa na vifaa bora ,kuhusu laptop ni muhimu ila hata ukiwa na simu yenye uwezo mzuri fresh tu mi nimesomea simu mwanzo mwisho.
  4. ashery one

    Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

    Usagara zipo hata huku toa ngoma kipo
  5. ashery one

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hata huku mkuranga umeme unakatika siku nzima na sio mara moja ila hawaishi kujigamba kuzarisha umeme mwingi
  6. ashery one

    Inakuwaje tarehe na mwezi wa kuzaliwa na kufa vinafanana?

    Kama mm nilizaliwa may 28 1994 nikafa may 28 2010
  7. ashery one

    Tatizo la kutokwa maji kwenye uume

    Kama unapiga puchu hiyo ndio sababu kama sio utakua na infection kwenye kibofu
  8. ashery one

    Mwanangu wa siku mbili amefariki dunia, alichomwa sindano baada ya joto kupanda

    Mostly ni diclofenac inj au tramadol inj pia mtoto wa siku mbili anaweza kuchomwa sindano na kwa joto hilo lazima angechomwa sindano
  9. ashery one

    Mwanangu wa siku mbili amefariki dunia, alichomwa sindano baada ya joto kupanda

    Unajua kwa nini alikua analia ? na dr ndiye aliemuandikia sinndano ili upate kujua chanzo cha kifo ili wakati ujue jinsi kusolve ishu kama hii ikitokea R.I.P
  10. ashery one

    Trapped to a married man

    Tafuta wa kwako mwenyewe otherwise maisha yako yataingia kwenye misukosuko mikali
  11. ashery one

    Ni ipi adhabu ya Mbunge aliyevunja kiapo alichoapa bungeni?

    Na pia bungeni hakuna kiapo cha kumtii rais labda jeshini na wateule wa rais
  12. ashery one

    Ni ipi adhabu ya Mbunge aliyevunja kiapo alichoapa bungeni?

    Kama kionozi anafanya vitu vibaya hakuna sehemu katiba ina sema kumkosoa rais wa nchi ni kosa ila kuitukana nchi ndio shida
  13. ashery one

    Wauzaji vifaa vya wanafunzi wa afya na vituo vya afya

    Tunauza vifaa kama glucometer, BP machines , HB machines, mask, mrdt,Urinalysis strip , Scrub , Makoti , Nguo za manurse vingine vingi tupo makumbusho no 0712349774 medgadget aim for health
Back
Top Bottom