Tatizo la kutokwa maji kwenye uume

Tatizo la kutokwa maji kwenye uume

Samahani naomba kuuliza,

Nimepatwa na hili tatizo yapata mwezi sasa. Maji yanatoka kwenye uume wangu hayana harufu na wala sio usaha. Nikikojoa hapaumi, ila kuna muda yanachuruzika na muda wote sehemu ya kutolea mkojo inakuwa mbichi.
penile mucus
 
Pisi Kali
Inahusika Hapo Fanya Mchakato Haraka
October 28 Usichanganye Gunzi Na Battery
Torch Haitawaka
 
Ila mtoa mada hajatuambia kwamba hiyo hali inamtokea akiwa na hamu, kwa maelezo yake inaonekana kama imekuwa kawaida hivi.

Labda atupe maelezo zaidi. Ama hiyo unayo ikusudia wewe sisi Waswahili tunayaita "Madhii" (Kwa faida tu, na huwa ni najisi).
Kwanini ni najisi? Sio hali ya kawaida?
 
Samahani naomba kuuliza,

Nimepatwa na hili tatizo yapata mwezi sasa. Maji yanatoka kwenye uume wangu hayana harufu na wala sio usaha. Nikikojoa hapaumi, ila kuna muda yanachuruzika na muda wote sehemu ya kutolea mkojo inakuwa mbichi.
Kuna ambayo hutoka wakati umeshamaliza kukojoa pale unapojikamua mwishoni ndo hutoka huwa kama meupe meupe hivi huwa ukiyashika kama yanaunataji flani wa aina yake.

Kuna ambayo hutoka hayana rangi,haya mara nyingi humtoka mwanaume akiwa eitha yupo katika kufanya harakati zinazohusiano na mapenzi kama vile jumchezea mkewe ama KUANGALIA PICHA ZA NGONO AMA VIGODORO,AMA KUANGALIA WANAWAKE WALIOKUWA UCHI HAYA YOTE YANAPELEKEA KUTOKA HAYO MAJI.

Wewe yako yanatoka wakati gani ?
 
Kama unapiga puchu hiyo ndio sababu kama sio utakua na infection kwenye kibofu
 
Back
Top Bottom