Recent content by asanteni babu

  1. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania Na changamoto katika ndoa yangu. Mke wangu jeuri sana, Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa

    Kwenye hao Single Mom chagua anayejitambua na unayeamini ukipigwa na jua ukienda hapo utaenda pata kivuli na kimiminika Cha baridi na uhakika wa usalama mpangilie utulie ila usiweke imani yako kwake mean hisia kurukaruka sio poa Mzee unaweza kutua kwenye kipande Cha chupa au miiba
  2. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba imeshindikana kutengeneza miziki, comedy, n.k. bila vionjo vya Ngono, Vilevi, n.k. ? Tunapata taabu sana kuangalia tv na watoto

    Yaani hili swala limekithiri na linakera sijui uwezo wa wasanii umekuwa wa kawaida kiasi kwamba kushindwa kuibua vitu vipya na kuvifanya viwe marketable mbali na ngono au sokoni ngono inauzika kirahisi na faida ni kubwa.
  3. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania Yanga wanapangiwa matokeo nje ya uwanja, Timu hazikabi, Makocha hawaoneshi kuumia

    Milio imeanza kutoka....Yanga waongeze ili tujionee mengi
  4. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

    Wangejikita na kutoa masomo ili watu wajue ukweli waamini sio namna hii walioichagua,hii namna ni ujenzi wa chuki Naamini haya ni moja ya mambo yamefanya huyu jamaa wala pilipili wamtafute.
  5. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania Usithubitu kutoa fedha benk kwenda halopesa Kwa NMB Mobile inakula kwako

    Kuna kipindi nilifanya muamala mrefu kwa njia hyo hela ilkwama alafu inahitajika kwa uharaka niliumia ikabidi nitumbukie kausha bila kupenda ifike muda haya makampuni kama huduma Fulani hawaiwezi waikaushie wanatia hasara kuna muda
  6. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania BASATA: Hatuhusiki na suala la Nay wa Mitego kuitwa Polisi, sisi tunahusika na Maadili ya Sanaa tu Siyo Jinai

    Ifike muda wasanii washikamane kupinga huu uonevu
  7. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuhamisha Wazanaki toka Butiama kwenda Igunga?

    Kuna hatua itafika tutaanza kuwambana makofi hii ni dharau kuhamisha watu pasi na ridhaa yao kuna wengine wanahamishwa kule Shinyanga tena wamepewa siku 14 ni kama mambwa (thamanilessness) alafu kipindi cha uchaguzi watataka kura
  8. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mimi, Azam FC ningetimua Wachezaji wote na benchi la ufundi

    Tatizo hakuna malengo kwenye timu
  9. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania Jamani wafundisheni wanawake kuoga

    Oyaaa punguza hasira mzee dunia ya wote hii wasafi na wachafu kama kuna kitu kinakukera tafuta kisichokukera au nenda mahala hapakukeri
  10. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei halisi za airpods Pro hizi kwa anayefahamu.

    Hizi huwa zina quality zipo mpaka za buku 5 wewe nenda na kiasi chako dukani utapata kulingana na kiasi chako
  11. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania ABUJA: Rais wa Nigeria aomba kibali cha bunge la Senate kutuma jeshi Nchini Niger

    Hawa wanaopindua serikali zao wangekuwa wajanja na wazelendo kwa nchi na bara la Afrika kama wangepindua nchi na kuitawala wao kama wao kuliko kuipindua nchi alafu unaegemea upande Fulani yaan sasa na mtu anayehama kiti cha nyuma kwenye gari na kukaa cha mbele kwenye gari ileile lengo awahi kufika
  12. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kimenuka Kambi ya Wanalunyasi huko Uturuki

    Kipa mbrazili kaumia mazoezini baada ya wiki moja tangu asajiliwe na taarifa zinasema habari yake na lunyasi imeishia hapo(hasara)
  13. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Mzee Stephen Wasira Kuvunja Sabato Hadharani: Je atapewa adhabu kwa mujibu wa kanuni za Kanisa?

    Kanisa na Wadventista Wasabato wanajua maandiko na wanajali sana kondoo kama aliwahi kukosea huko nyuma wakamuonya mara kadhaa watamfuta ushirika lakini kama ndio kaanza naamini watamkalisha chini na kumpa maneno ya kumsaidia kurudi kwenye mstari
  14. asanteni babu

    JamiiForums Tanzania Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!

    Bro umeandika ukweli wanapambana sana kumpamba lakini ukweli haufichiki
Back
Top Bottom