Recent content by Asante

  1. Asante

    JamiiForums Tanzania Yale Makelele ya uhaba wa Dola na Shilingi inaporomoka yameishia wapi?

    Ni kawaida ya miaka yote Dollar kufurika sokoni kwa sababu 1. Korosho nyingi inauzwa nje kuanzia mwezi wa October hadi January 2. Kahawa nyingi inauzwa nje kuanzia August hadi October 3. Mazao kama pamba, tumbaku n.k Ikifika mwezi wa February BOT inakauka.
  2. Asante

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza toka 1979 Tanzania inapata uhaba wa pesa za kigeni bila ya kuwa vitani

    Tunanunua ndege kwa cash dollar Tunalipa faini za mahakama za kimataifa kwa kuvunja mikataba kwa cash dollar
  3. Asante

    JamiiForums Tanzania Rushwa kubwa ni sababu ya upungufu wa dola kwenye mzunguko

    Manunuzi ya ndege kwa malipo ya cash, faini ambazo tumelipishwa na mahakama za kimataifa, ambazo tumelipa cash, na bado kuna kesi za mikataba ya hovyo tulifanya zinaendelea. Zimeondoka na akiba ya fedha za kigeni kwa mabilioni ya dola.
  4. Asante

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji katika shamba langu heka 10 mkoa wa Arusha

    Mazao gani yanastawi shambani kwako, na soko liko vipi
  5. Asante

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna kabila linaitwa Waarusha au ni Wamasai mmeamua kujiita hivyo?

    Hakuna kabila la Waarusha
  6. Asante

    JamiiForums Tanzania Tatizo la rangi kubanduka

    Ukuta umelowa maji
  7. Asante

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa ufugaji wa samaki hizi nyaya ni za nini kwenye bwawa? Angalia picha

    Inajaza oxgen ndani ya bwawa.
  8. Asante

    JamiiForums Tanzania KKKT yatahadharisha kuhusu COVID19

    Asante
  9. Asante

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga Tanzania

    Niliwahi kusikia zipo mashine unaweka shambani zinatoa mlio wa sauti ambayo hakuna ndege anayeweza kutua eneo hilo kwa mzunguko wa nusu kilomita. Mtaalam hizi mashine zipo, kama ndiyo nitazipataje na bei gani. Nataka nizifunge mwenye mashamba ya mpunga.
  10. Asante

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Kumekuwepo na mapungufu mengi jinsi ya kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa corona. Njia moja ya maambukizi ya ugonjwa huu hatari ni kwa njia ya mate. Wahudumu wote wa mahoteli, mama ntilie wahudumu wa bar hawana kinga yoyote ya kuzuia mate kudondokea kwenye sahani ya ubwabwa, kuanzia mpishi...
  11. Asante

    JamiiForums Tanzania House4Sale Vyumba vya kupangisha Kawe Ukwamani

    Vyumba vyenyewe mbona sivioni
  12. Asante

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kusinyaa kwa mapesheni

    Tumia mbolea ya CAN tatizo la maua na matunda litaisha
  13. Asante

    JamiiForums Tanzania Uchakavu wa basi za shule

    Bus za shule ni lazima ziwe za rangi ya yellow.
  14. Asante

    JamiiForums Tanzania Msimu wa korosho umewadia, mizani na mawe feki katika vyama vya msingi kwa ajili ya kuwaibia wakulima bado ni tatizo kubwa

    Toa taarifa idara ya mizani kuhusu wizi huo, ofisi zao ziko Mtwara mjini nyuma ya bank ya NBC.
Back
Top Bottom