LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 862
- 1,097
Nchi yetu imekumbwa na upungifu mkubwa wa fedha za kigeni hususani dola ya kimarekani na hovyo kuanza kusababisha madhara makubwa iliwrmo kupanda bei za bidhaa hasa inayoagizwa nje kama mafuta.
Ukiangalia miamala inayotumika katika malumbano ya ubinafsishaji wa bandari na tetesi zilizopo za watu kulipwa fedha nyingi kutetea au kupinga uwekezaji basi kuna fedha nyingi ipo majumbani kwa watu badala ya kuwa kwenye mzunguko.
Ruhusa ya biashara ya fedha za kigeni nje ya mabenki bila kuweka udhibiti wowote vinafanya haya maduka ya kigeni kutumika katika kutoa au kupokea rushwa. Juhudi kubwa za maksudi zinahitajika kabla mambo hayajaharibika zaidi.