Anaweza kuendelea hapo hapo koz mshahara ni mzuri Ila inatakiwa ameintain status yake ya kuwa Mwl mzuri na Tabia nzuri maana private wana matatizo yao ya kusitisha ajira kama unalega lega.
Pili anaweza kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii ili awe anapeleka kwacash. Lakini pia kama anamkataba...
Labda pengine kosa lipo na wewe, pengine huwa humjali akishika mimba, au una multiple dates mwenzio anahofia utamuacha.
Lakini pia tumia kinga basi. Na use na msimamo kama anasema bye Iwe hivo kweli. Umekuwa mwepesi mno kukubali
Tafuta mbegu za maboga has a zile zenye ganda jeusi uzikaange na kusaga alafu weka kwa uji au viazi mviringo na supu. Ukinywa hiyo Maziwa yatatoka mengi na mazito. Ila mtoto kama hanyonyi yanaumaga na kulowa sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.