Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
NB: Kama hela yako ya kuungaunga usisome, Mbuzi ula kwa urefu wa kamba yake
elimu nzuri kwa mtoto ni uwekezaji bora na wa kudumu kwenye maisha yake, Kwa anayesomesha mtoto hizi shule nampongeza sana tuu. if you can do it! Maana anajua nini maana ya urithi kwa vizazi vijavyo. Wewe kama mzazi/mlezi utafanya jukumu lako la kulea, Lakini huwezi kuishi maisha ya mtoto wako. Nothing is expensive when you are trying to secure the future of your child! Nothing.
elimu yet hii ya Tz kwa mtaala wa nectar haiko relevant na dunia ya leo. Ndo maana wengi tulioishia huku kwa hii elimu our struggle in the modern world is real! Hii elimu ya Tanzania kwa sasa inakuandaa kuwa mwanachama mtiifu wa kutegemea kuajiriwa zaidi kuliko kujiajiri, mtu anayeridhika na hali duni ya maisha, anayeona umasikini ni mipango ya Mungu, muoga ku-challenge status quo, muoga wa kuhoji, mbinafsi na mtu anayeamini kwamba kwa sababu hana basi wote tukose! Anayeamini kwamba kusomesha mtoto IST ni kujidai na kuharibu hela
watoto wa IST wakimaliza hua wanaenda vyuo vya duniani huko i.e. MIT, Stanford University, Harvard, Oxford etc
INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA
INTERNATIONAL SCHOOL OF MOSHI
BRAE BURN INTERNATIONAL SCHOOL

Childhood year 1 | 33,820,000 |
Childhood year 2 | 33,820,000 |
Kindergarten | 47,220,000 |
grade 1 | 47,220,000 |
grade 2 | 47,220,000 |
grade 3 | 47,220,000 |
grade 4 | 47,220,000 |
grade 5 | 47,220,000 |
grade 6 | 54,710,000 |
grade 7 | 54,710,000 |
grade 8 | 54,710,000 |
grade 9 | 58,110,000 |
grade 10 | 58,110,000 |
grade 11 | 69,920,000 |
grade 12 | 69,920,000 |
JUMLA | 771,150,000 |
INTERNATIONAL SCHOOL OF MOSHI
DAY | BOARDING | |
Early Childhood | 16,200,000 | 16,200,000 |
P1 | 26,300,000 | 26,300,000 |
P2 | 26,300,000 | 39,800,000 |
P3 | 26,300,000 | 39,800,000 |
P4 | 26,300,000 | 39,800,000 |
P5 | 26,300,000 | 39,800,000 |
P6 | 26,300,000 | 39,800,000 |
M1 | 35,300,000 | 49,900,000 |
M2 | 35,300,000 | 49,900,000 |
M3 | 35,300,000 | 49,900,000 |
M4 | 35,300,000 | 49,900,000 |
M5 | 35,300,000 | 49,900,000 |
D1 | 39,900,000 | 59,500,000 |
D2 | 39,900,000 | 59,500,000 |
JUMLA | 430,300,000 | 610,000,000 |
BRAE BURN INTERNATIONAL SCHOOL
DAY | BOARDING | |
Nursery | 9,827,175 | 9,827,175 |
Prep | 15,003,515 | 15,003,515 |
Year 1 | 22,872,200 | 22,872,200 |
Year 2 | 22,872,200 | 22,872,200 |
Year 3 | 24,895,510 | 43,320,595 |
Year 4 | 24,895,510 | 43,320,595 |
Year 5 | 24,895,510 | 43,320,595 |
Year 6 | 24,895,510 | 43,320,595 |
Year 7 | 29,993,140 | 48,418,225 |
Year 8 | 29,993,140 | 48,418,225 |
Year 9 | 29,993,140 | 48,418,225 |
Year 10 | 33,616,115 | 52,376,875 |
Year 11 | 33,616,115 | 52,376,875 |
Year 12 | 34,931,035 | 53,691,795 |
Year 13 | 34,931,035 | 53,691,795 |
JUMLA | 397,230,850 | 601,249,485 |