Recent content by asam.thegunner

  1. asam.thegunner

    Nimekipata Kigori,wenye wivu jinyongeni,

    Si utani hii kitu imetulia. Hongera sana. Hivi utunzi wa mashairi ni kipaji mtu anazaliwa nacho au naweza kujifunza na nikaweza?
  2. asam.thegunner

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    Kwenye mada yako nimeona ukiwaasa waislamu wasitumiwe na ccm. Ningeomba uonyeshe waislamu wanatumiwaje na ccm maanake bila kuonyesha inaweza kuwa vigumu kukubali nasaha zako. Hao unaowaita baadhi ya waislamu wenye udhaifu wa kuchanganua mambo ni akina nani? Unaweza kuwataja? Nitashukuru sana...
  3. asam.thegunner

    Natangaza nia...

    Asante kaka, kumbe wengine bado tuko na mawazo ya kuanza darasa la kwanza na miaka 7. Nakutakia kila la kheri kaka, umpate sio unayempenda tu bali mnayependana
  4. asam.thegunner

    Natangaza nia...

    Mi umenichanganya kwenye kigezo cha elimu na umri. Hivi kama unakubali kuanzia miaka 14, je binti wa miaka 14 anaweza kuwa kashamaliza form 4?
  5. asam.thegunner

    Baada ya kumkataa Rais

    Jamani naona haya mambo yananichanganya. Naomba anayeelewa vizuri atoe tafsiri ya hiyo sehemu niliyoweka red. Manake ukisoma kama ilivyo utaona Bunge la Jamhuri ya Muungano limeundwa na vitu 2 ambavyo ni raisi na wabunge. Manake kama bunge limeundwa na vitu 2 halafu kimoja hukitambui manake hata...
  6. asam.thegunner

    Kikwete ni mdini?

    Kama statistics basi tunaweza kusema JK kawapendelea wakiristo mfano zaidi ya 65% ya mawaziri ni wakiristo, wakuu wa mikoa wengi ni wakiristo, wakuu wa wilaya, majajina karibia kila sekta wengi ni wakiristo. JK hana hata chembe ya udini ila nyie ndio mtaka kuleta mambo hayo ya udini. Tuachane...
  7. asam.thegunner

    GE2010 Baraza jipya la mawaziri 2010/2015

    Mi nadhani mawaziri wote waliopo watarudi kama wakishinda ubunge. Tofauti itakuwa wanaweza wakahamishwa wizara tu. Nadhani sura ngeni zitatokana na nafasi za mawazir waliomaliza muda wao na hawakupata nafasi ya kugombea tena kama J. Bendera na wengine.
  8. asam.thegunner

    GE2010 Ridhwani aibukia Maswa!!

    Hizi ndio siasa za chuki ambazo inabidi tuzikemee. Kuna tatizo gani Riziwani kuhudhuria hayo mazishi? Yeye ni mwana ccm na ana uongozi ndani ya ccm sasa tatizo liko wapi akihudhuria? Kwan kuna mtu ana idadi ya misiba ambayo Ridhiwan kahudhuria? Tuwe wastaarabu sio kila Jamaa analofanya ni tabu...
  9. asam.thegunner

    GE2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

    Jaribu TV4Africa ila utalipishwa kiasi kidogo ambacho ni chini ya euro 6.
  10. asam.thegunner

    CF: Nitagombea kipindi kimoja tu - Dr. Slaa

    Hayo ni maneno ya wanasiasa. Sasa anakuambia nitagombea kipindi kimoja, kikiisha utasikia wananchi wameniomba nigombee tena. Let us wait and see!
  11. asam.thegunner

    Askofu Kulola: Kuna mtandao wa kisiasa makanisani

    Mimi nilishuhudia huu mtandao wa udini makanisani. Tatizo sikuwa na ushahidi ndio maana nilikaa kimya. Afadhali askofu kazungumza. Kitu cha muhimu sio kuanza kupingana naye ni wale wanao fanya haya mambo tuwakemee kama alivyofanya askofu na sio kumkejeli. Siku chache tulishuhudia waraka ambao...
  12. asam.thegunner

    Babu aliyesadikiwa kuuwawa na maji pilipili ya polisi aibuka na kuwajia juu wazushi

    Ndugu kabwela hebu jaribu kusoma hilo gazeti vizuri Dr. Slaa kaongelea kuwalipa mafao yao nakubaliana na wewe kuwa bado hajalipwa ila pia kaongelea kuwa kuna mstaafu kauwawa. Nadhani kwenye mada yangu nilichoona ni uongo ni huko kusema kuna mstaafu kauwawa. Halafu ndugu sio kila anayetoa dosari...
  13. asam.thegunner

    GE2010 CCM,CUF Wafanya kikao cha siri kuiangusha CHADEMA Mbeya

    Kwani CAFU wamefanya kosa gani kumwekea huyo mgombea wa CHADEMA pingamizi? Mi nadhani huyu mgombea ndio mwenye kosa na inabidi alaumiwe kwa kutofuata taratibu, labda ungesema tume imemuonea hapo kidogo ingeleta maana. Hivi ni lini Watanzania tutaacha lawama zisizo na msingi?
  14. asam.thegunner

    GE2010 CCM,CUF Wafanya kikao cha siri kuiangusha CHADEMA Mbeya

    Nasikitika kuona unalaumu hatua ya CAFU kumwekea pingamizi mgombea. Ningedhani ungemlaumu huyo mgombea kwa kutofuata taratibu. Ni lini watanzania tutakubali udhaifu wetu na tukaacha lawama zisizo na msingi?
Back
Top Bottom