Recent content by Arsenalist

  1. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Kwa kozi za ADEM, unaweza kusoma degree ipi?

    Asante Mkuu
  2. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Kwa kozi za ADEM, unaweza kusoma degree ipi?

    Jamani wana jamvi naomba kujua. Kwa kozi zitolewazo ADEM kwa level ya diploma, je unaweza utumie ufaulu wake kusoma degree ipi na wapi ? Ikizingatiwa kwa sasa ni mwalimu wa daraja la IIIA
  3. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: DC Ally Hapi aagiza mtumishi wa umma kuwekwa ndani saa 48 kwa kumzimia simu!

    Tcu hawajatoa majina ya udsm ???
  4. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania BalimiI/kirkuu a.k.a fastjet bei ndogo majibu fastaa

    Una Nyumba ngapi mpaka sasa ukilinganisha na umri wako??
  5. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

    Hujaelewa. Hiyo inatengenezwa hoja Ya namna gani kamzigo kadogo kanaweza wekwa mfukoni mwa anaesearch na akapandikiza. Hivyo tegemea mwisho wa siku picha litakuwa kapandikiziwa zigo ndio maaana walienda masaa nje na sheria itakavyo.
  6. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

    Kama wote hatuna uhakika angefunguliwa kesi ya uhujumu uchumi ili ajitetee na fact zionekane! Mbona wale wa Richmond hawafuatwi??
  7. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

    Issue ni kuwa inazirudishaje?? Umesoma bandiko?? Serikali iliuza nje, manji akazinunua then Leo anapokonywa sio anawauzia. Unadhani ni urudishaji huo?? Kanyaga twende
  8. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Manji na hisia za watanzania

    Kwanza una umri gani hapa jf?? Au ndio zile za kukutia TV ukubwani na ulazimishe kujua kucontrol wakati watu wanakuchora?? Umeingia Jf mwaka Jana tuu hivyo usilazimishe kupost hata kama umeona jibu la swali lako kwenye bandiko la awali
  9. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Manji na hisia za watanzania

    Soma bandiko huko. Limetoa angalizo kuwa justice ichukue mkondo wake. Au kidesa umeingia nacho cha somo lingine???
  10. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Manji na hisia za watanzania

    Sasa katika hoja badala upembue na utoe majibu yakinifu wewe unakuja na singeli za dodoki na maji!!!
  11. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Manji na hisia za watanzania

    Unaweza uuambie umma uliopo humu ndani katika thread halisi wapi chama kimeguswa??? Au ndio kusema ukirusha jiwe kichakani ukisikia mlio ujue kuna aliepatikana???
  12. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Manji na hisia za watanzania

    Pengine hakuelewa kuwa kwanini fidia ya awali ilitakiwa shilingi moja
  13. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Manji na hisia za watanzania

    Ukiangalia post imeshauri watu waiache justice ichukue mkondo wake. Hapo mhemko upo wapi?? Au Desa uliloingia nalo silo??
  14. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Manji na hisia za watanzania

    Mbona hujachangamkia ruzuku ukaenda kuhudumia demand huko vijijini kwetu??? Elimu..... Elimu..... Elimu
  15. Arsenalist

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Manji na hisia za watanzania

    Post imesomeka vizuri???
Back
Top Bottom