Recent content by Arnoldinho

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MWANAUME! Dada yako akikuunganishia, safi!! kwanini wewe hutaki kumuunganishia?

    mke nilienaye niliunganishiwa na sister angu ila nilishawahi kumkuta mshakaji na huyohuyo sisterii nilimfumua huyo jamaa karibu niue. sijui ni kwaninini?
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mtego wa kumnasa mgoni/dawa ya kunasiana?

    Mazinde zipo karibu sana
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wanaoa wapenzi wa rafiki zao wa karibu kabisa???

    Wanachukuliana kwenye pombe
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mapungufu makubwa ya Serikali ya awamu ya nne

    Mke Wa Rais kuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Kiongozi wa TZ
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mapungufu makubwa ya Serikali ya awamu ya nne

    Safari za nje kila mtu kwa pesa ya mlipa kodi
  6. A

    JamiiForums Tanzania CUF kuandamana June, 29 hadi IKULU kupinga UKATILI LIPUMBA kuongoza, kupokelewa na KIKWETE

    Prizenta anayekimbiza kwenye habari za michezo na burudani Bongo, Maulidi Baraka Kitenge amevuta mke wa nne, Ijumaa limepenyezewa.
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NgUO alizoninunilia X-wangu .......zinanifikirisha sana

    chupi au?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Usagaji una niweka huru.

    JamiiForums Message All cookies cleared! Return to the page you were previously viewing Go to forums index
  9. A

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Pinda: Kwa kuhalalisha Uhalifu Umewapa Wananchi Haki ya Kujitetea wakipigwa!

    Capitalism is totalitarianism
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna watu makini ndani ya CCM wakujadiliwa nafasi ya Urais hapa JF?

    Mkuu jaribu kutafuta wengine hapo hapo juu futa wote
  11. A

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya katiba: Ikulu itakuwa ya Tanganyika au muungano?

    Tugawane nchi bhanaaaaaaaa!!!!!!1
  12. A

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: CHADEMA waroho wa madaraka

    Walishasema CUF (ngoja nitype kwa herufi ndogo nisiwavimbishe vichwa hiki chama cha kijinga) cuf ni maalim sefu na maalim sefu ni cuf..cuf ni kampuni ya maalim sefu yaani ni mwenyekiti mtendaji pale kama r.mengi na ipp
  13. A

    JamiiForums Tanzania Clouds fm what do you learn from this

    Kumbe kuna mtu kalamba makonde tena? hahahahaa media ya kinafki sana ile
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais wetu ipo Wapi?

    Haikua mpya, waliipaka rangi tuu wakasema mpya kama yaleyale ya rada ..... huoni wanaogopa hata kusafiria ?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais wetu ipo Wapi?

    Sijui!! labda ipo gereji au wamesha ipiga......UTAWAWEZA???
Back
Top Bottom