Wapi nitapata mtego wa kumnasa mgoni/dawa ya kunasiana?

teh teh teh! kinacho mpa headache ni nn labda??? eeee? Na ina maana marafiki wote alionao wanamdanganya on the same matter????
 
Best yangu kaoa miaka 3 ilopita kwa style yake, alikua amekaa kiti kirefu akaona binti (kicheche) anapita akamuita akampa viofa akalala nae.

Wiki 2 baadae akamuona anavinjari na jamaa mwingine , akaniita akaniambia, "unaona kale kakikicheche nimepita nae!!" haijapita hata mwezi jamaa kanipigia simu nimfuate mahali nikamkuta yupo na yule mdada tena.

PAUKWA PAKAWA ...Jamaa hamuiti tena kicheche/cheni/kichaka/mlupo ...anamuita BABY!! na ananinisisitiza niwe na heshima kidogo akiwepo....mara mimba, mara mtoto.

Katika maisha riziki hupangwa na Mungu na kwa kweli huyu mtoto kaja na riziki maana jamaa vihela vinampitia siku hizi.

SHIDA INAANZA, MAMA KAPENDEZA KWELIKWELI Jamaa hapati usingizi kisa mama alikua mama huruma na zile njemba zake za zamani zitakua zinaendeleza.

Ametega mitego yote za kushtukiza hola, ametuma marafiki wakajaribu kutongoza lakini hola (anahisi wanakubaliwa lakini wanaficha),sasa anatafuta dawa za kunasiana ili amtegeshee mkewe.Wapi atapata?? wapi nimuelekeze???

Muulize kwanza anauboooo? Manake nnauhakika hujawahi kuuona.
Afu nawewe ujiangalie unao? Manake unaweza kuta nawe ni kibamia tu!
Afu unaita uboooo.
 
it is hard to turn a bad girl into a good girl,and once a good girl has gone bad,has gone bad for ever and you will mourn for ever hii ni kwa mujibu wa Jay Z song cry lyrics
 
Best yangu kaoa miaka 3 ilopita kwa style yake, alikua amekaa kiti kirefu akaona binti (kicheche) anapita akamuita akampa viofa akalala nae.

Wiki 2 baadae akamuona anavinjari na jamaa mwingine , akaniita akaniambia, "unaona kale kakikicheche nimepita nae!!" haijapita hata mwezi jamaa kanipigia simu nimfuate mahali nikamkuta yupo na yule mdada tena.

PAUKWA PAKAWA ...Jamaa hamuiti tena kicheche/cheni/kichaka/mlupo ...anamuita BABY!! na ananinisisitiza niwe na heshima kidogo akiwepo....mara mimba, mara mtoto.

Katika maisha riziki hupangwa na Mungu na kwa kweli huyu mtoto kaja na riziki maana jamaa vihela vinampitia siku hizi.

SHIDA INAANZA, MAMA KAPENDEZA KWELIKWELI Jamaa hapati usingizi kisa mama alikua mama huruma na zile njemba zake za zamani zitakua zinaendeleza.

Ametega mitego yote za kushtukiza hola, ametuma marafiki wakajaribu kutongoza lakini hola (anahisi wanakubaliwa lakini wanaficha),sasa anatafuta dawa za kunasiana ili amtegeshee mkewe.Wapi atapata?? wapi nimuelekeze???
Dawa ipo andaa laki mbili alafu npm.
 
Kwani ukisema ni wewe tatizo lipo wapi

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
ukipenda boga penda na ua lake! Jamaa kapenda kicheche akiwa kazini basi apende na kazi yake
 
mimi najua sehemu ambapo wanatengenza dawa za wagoni kugandiana (Tego) ila sikushauri kabisa kufanya hiyo kitu. ni wasiwasi tu, acha wasiwasi au mtoe hapo ikibidi hama mazima
 
Best yangu kaoa miaka 3 ilopita kwa style yake, alikua amekaa kiti kirefu akaona binti (kicheche) anapita akamuita akampa viofa akalala nae.

Wiki 2 baadae akamuona anavinjari na jamaa mwingine , akaniita akaniambia, "unaona kale kakikicheche nimepita nae!!" haijapita hata mwezi jamaa kanipigia simu nimfuate mahali nikamkuta yupo na yule mdada tena.

PAUKWA PAKAWA ...Jamaa hamuiti tena kicheche/cheni/kichaka/mlupo ...anamuita BABY!! na ananinisisitiza niwe na heshima kidogo akiwepo....mara mimba, mara mtoto.

Katika maisha riziki hupangwa na Mungu na kwa kweli huyu mtoto kaja na riziki maana jamaa vihela vinampitia siku hizi.

SHIDA INAANZA, MAMA KAPENDEZA KWELIKWELI Jamaa hapati usingizi kisa mama alikua mama huruma na zile njemba zake za zamani zitakua zinaendeleza.

Ametega mitego yote za kushtukiza hola, ametuma marafiki wakajaribu kutongoza lakini hola (anahisi wanakubaliwa lakini wanaficha),sasa anatafuta dawa za kunasiana ili amtegeshee mkewe.Wapi atapata?? wapi nimuelekeze???

Khaa! Muulize hajaiskia ile story ya Muhindi!
Haya mwambie amtengezee PI.CHU LA CHUMA uko!!!
 
....kama yeye alivyompata na kumgegeda kiulaini, basi akae akijua kuwa ndio hivyo hivyo wenzake nao watampata na kumgegeda!
 
ok..alikua kicheche..pengine saivi kaamua kutulia.
 
Sasa presha za nini? Kumbe anamjua toka zamani kama ni kicheche kayataka mwenyewe amwache binti wa watu anasiane alafu? Aibu yake mwenyewe! Aache ujinga!
.....hii ndo ile wanasema, "mchele kisoda nazi sita"...
 
Huko temeke ndio kwa wenye mitego ya kunasa panya wa kwenye suruali tu.
 
mwambie atakufa mapema before his exactly time alopangiwa
Best yangu kaoa miaka 3 ilopita kwa style yake, alikua amekaa kiti kirefu akaona binti (kicheche) anapita akamuita akampa viofa akalala nae.

Wiki 2 baadae akamuona anavinjari na jamaa mwingine , akaniita akaniambia, "unaona kale kakikicheche nimepita nae!!" haijapita hata mwezi jamaa kanipigia simu nimfuate mahali nikamkuta yupo na yule mdada tena.

PAUKWA PAKAWA ...Jamaa hamuiti tena kicheche/cheni/kichaka/mlupo ...anamuita BABY!! na ananinisisitiza niwe na heshima kidogo akiwepo....mara mimba, mara mtoto.

Katika maisha riziki hupangwa na Mungu na kwa kweli huyu mtoto kaja na riziki maana jamaa vihela vinampitia siku hizi.

SHIDA INAANZA, MAMA KAPENDEZA KWELIKWELI Jamaa hapati usingizi kisa mama alikua mama huruma na zile njemba zake za zamani zitakua zinaendeleza.

Ametega mitego yote za kushtukiza hola, ametuma marafiki wakajaribu kutongoza lakini hola (anahisi wanakubaliwa lakini wanaficha),sasa anatafuta dawa za kunasiana ili amtegeshee mkewe.Wapi atapata?? wapi nimuelekeze???
 
Kwanini haulizii nujia zakupatia pesa na masomo anatafuta dawa zakunasana ili iweje akishamkuta?kwani mkewe? na hata kama mkewe kama anaona tabia haziendani yanini aibu? jamani wanaume wengine nao mpaka aibu kuitwa wanaume..eti dawa wanasane yani hapo ndio mwisho wa kufikiri kwake? mpe pole sana na mungu atamzidua kwenye hizo fikra zake finyu..
 
Anatafuta dawa ili amtegeshee mkewe?! Na akishamtega? Ndio atakuwa kapata sababu ya kumuacha au nia yake ni kuhakikisha tu then waendelee na maisha? From the look of things...tego la kwanza lisipojibu...atahangaika kwa waganga hadi ugonjwa wa moyo utakapochukua maisha yake.
 
Back
Top Bottom