Recent content by Arnold Zephania

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wewe Ndugulile huwa huna aibu?

    Yani ni Voda ndio viburi was mwisho shetani hawa na wanazitafuna MB kama mchwa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji Mhasibu

    Hivi unaposema "nina CPA" una maanisha nini?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Yaan hadi sio poa kuna wa tareh 8,9,10 Halaf bado hapo masaa tofauti
  4. A

    JamiiForums Tanzania Visa vinavyoudhi high Schools (Advance)

    Ooooh kumbe Though hata ihungo vilikua na majina rugambwa, kahororo, kajumlo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kichwa upande mmoja

    Habari, Kwa muda sasa nimekua nikipata maumivu ya kichwa kuuma upande mmoja na kujiskia vibaya. Kabla kichwa hakijaanza kuuma huwa jicho linakua kama halioni vizur then maumivu yaananza kwa mbali baada ya hapo kiganja cha mkono hufa ganzi kwa dakika kadhaa then upande mmoja wa mdomo hufa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Visa vinavyoudhi high Schools (Advance)

    Dah Ihungo kunguni sitazisahau Zilikua zinang'ata hadi unaamka uchukue daftar uende darasan tuuh Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    JamiiForums Tanzania Visa vinavyoudhi high Schools (Advance)

    Mzeeh wa rpm silivester[emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    JamiiForums Tanzania Visa vinavyoudhi high Schools (Advance)

    Lahaula et vyoo vichafu mnaviita Ihungo. Mlikua mnatuchukulia wachafu sana [emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasomi wengi akili zao ni Madudu

    Ndo cha kushangaa hicho yan akili yake ndo madudu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mshahara wa daktari kwa ngazi ya Diploma

    Hii ni Gross au Net? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ajira Aga Khan health service Tanzania ( akhst)

    Hahahahaha dah nikahisi ni katekino changu tuuh Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    JamiiForums Tanzania Shule za Feza ni taasisi kubwa inayoelekea kaburini

    Wacha weeee Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kama haukuangalia hizi muvi uzaliwe tena

    Isuka shenzi zake ishaninyimaga usingizi hyo movie siisahau yani mda wa kulala unajifunika gubigubi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom