Kwanini wasomi wengi akili zao ni Madudu

Kwanini wasomi wengi akili zao ni Madudu

Hujaonyesha sehemu aliyoshindwa kufanya kazi. Bali umeeleza kukwamisha kazi sababu ya kuondoka na PC yako.
Kichwa cha habari hakiendani na maelezo yako. Kwa hiyo, wewe ndiye mwenye akili ndogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anamaanisha huwezi kutegemea mtu wa level yake kuondoka na kitendea kazi cha ofisi na kusafiri nacho wakati kilikuwa kinahitajika ofisini
 
Hapa inaonekana kabisa wewe ni mtupu kabisa na ndo maana ulifeli kidato Cha nne.umesema unaishi maisha ya kawaida kabisa,tupe tafsiri ya maisha ya kawaida ni yepi.Pia unajua Kama Kuna emergency?Kama hakuwepo mtu wa kuitunza hiyo PC angelifanyaje.Tangu ln PC moja ikatumiwa na watu wawili?Hiyo basi ni desktop.Kwa maelezo yako inaonekana una kampuni hivyo kampuni haikosi desktop na Kuna vitu vya kuhifadhia kazi zako external devices Kama vile flash.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kweli mkuu hujui maana ya maisha ya kawaida??
 
Mtoa Uzi unataka kusema mabadiliko kwenye elim ni muhimu Ili mwisho wa kusoma iwe kidato cha nne?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka elimu ya juu itoe mafunzo zaidi ya vitendo, maana haya mafunzo ya makaratasi yameshindwa kuonesha tija kwa wasomi wetu.
elimu yetu ya juu iwe inalenga vitendo, ubunifu na teknolojia kwa zaidi ya asilimia 90.
 
Wasomi kweli ni wajinga ikiwa wataajiriwa na mpumbavu kama wewe
 
Elimu yetu ya Tanzania mbinu zake za ufundishaji hazijalenga kuimarisha na kuboresha vipaji bali imelenga kuibua tabia za ujuaji na kujivimbisha kwa madai ya kuwa na vyeti vya elimu hii ya ujuaji.

Hata darasani mfumo ni huo huo, kuwashindanisha kupata number one..... Matokeo yake watu hawawezi kufanya kazi katika team work.

Mtu anaemaliza hii elimu huwa anakuwa na task moja tu, kuwa mjuaji na kuvimba basi ndio maana unaweza kuta kabwana mdogo kamepewa kitengo TRA kanamletea dharau mfanyabiashara mkubwa anaetengeneza kipato cha zaidi ya milioni tatu kwa mwezi ile hali bwana mdogo mshahara take home ni laki 6. Yote hii ni uzwazwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu wanajua kwakua wao ni wasom Basi wanajua kila kitu na wanaish maisha ya kanuni zilizo andikwa hawaish maisha ya binadam wa kawaida hujiona wao ndio watu muhim na wenye mawazo ya busara pia hujiona uongozi upo KWA jili Yao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona home hata watuu walioishia form 4 tunawaitua wasomi? Au na wewe umeji-include kwenye hilo group la watuu wenye mambo ya kipuuzi.
 
Ukiugua sasa hivi utaenda kwa nani akutibu ? dawa utanunua/kutibiwa zilizotengenezwa na nani ? Ukitaka kujenga jengo kubwa(gorofa) mchoraji nani ? mjenzi eng ni nani ?
mahesabu yako ya Biashara kwa ajili ya TRA nani anakutengenezea ? Hilo gari au pikipiki unayoitumia nani kaitengeneza ? Hayo makoti yako kiwanda nani kakitengeneza ? hiyo Laptop imetengenezwa na nani ? Kwa nini ulienda shule ?

Nadhani mpaka hapo ulipo umeshagundua unachokisema kina mapungufu kiasi gani ?
WIVU TU HUO WA KUIKOSA ELIMU
Hapo umeongelea sana vipaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wenye busara humsikiliza kila mtu.
Watu wa kati hufunzwa ba uzoefu wao.
Wapumbavu kama mtoa mada hawana haja ya kumsikiliza mtu yoyote kwani wanajua kila kitu
 
Kwanza nikwambie tu kuwa na wewe n mjinga sana na ndiyo maana ulifeli form four. Acha kutuonea wivu tuliobahatika kusoma mpaka chuo. Ninyi mliofeli mnatuona matawi sana ndiyo maana kila siku mtusema.

Huwa mnajisifia et mnamiliki ofisi ila hamna loloteee. Kumiliki pc na yenyewe unaona n bonge la office. Nenda karudie mtihan ili ufike chuo uje ufanye kaz zako kwa uweledi unaotaka ww ila kama hutaki vumilia tulisoma kwa shida tuache tufanye yetu. Wewe ulishindwe kusoma ukafeli, kwanza ukiniajiri mimi kwenye kiofisi chako hicho cha kishenzi nitakuibia tu.

Nimalizie kwa kusema kuwa mimi kama msomi ambaye sijapata ajira serikali sitokuja kuajiriwa na watu wapumbavu kama ww. Nitapiga mishe zangu mpaka cku nikipata pesa ya kutosha ili nifungue offie yangu mwenyewe ila siyo kuajiriwa na jitu jihu kama ww. Wakuniajiri ni serikali tyu make ndiye kaniamini mpaka kunisomesha. Acha ujinga ww kaka mkubwa
 
Back
Top Bottom