Recent content by armanisankara

  1. A

    Livingstone Lusinde: Lowassa unahangaika na kupoteza muda kwa sarakasi zako

    Livingstone lusinde yupo kwenye kambi ya mh. Pinda
  2. A

    Sababu 5 zikazo wanyima ushindi wapinzani 2015

    1)kura vijijini: watu wengi vijijini wanasubiri pilau, kanga, vitenge na ahadi za uongo za CCM 2)kura za wakina mama: wakina mama wengi bado wana mapenzi makubwa na CCM. Wakiwapewa kanga, vitenge na show za bongo fleva. 3)Mapenzi na Vyama vya Siasa: Tofauti za siasa za Tanzania na nchi nyingine...
  3. A

    Urais wetu usitafutwe kwa njia za panya

    Wanaotaka Urais wajitokeze tuwajue. Wakijitokeza tutawauliza wanataka kwenda Ikulu kuifanyia nini Tanzania. Tutawauliza wana uwezo wa kupambana na ufisadi na uhujumu uchumi unaotikisa nchi? Tutawauliza wanajua ndugu zetu vijijini wanakabiliwa na umasikini uliopindukia na mipango ya maendeleo...
  4. A

    Mtoto wa Rugemalira

    kuna watanzania wanaishi maisha ya shida. Lakini huyu mtoto wa fisadi anakula raha kwenye club na hotel za bei mbaya. Hapa yupo na Rihanna.
  5. A

    Haya ndio yaliyomkuta Sitta, alikutana na Nguvu ya ajabu ndani ya Chama

    Sitta angekua fisadi Chadema wasingempigia magoti 2010 agombee Urais kwa kupitia Chama Chao.
  6. A

    Ni sahihi kwa Mbowe kulala Hotel ya Dola 700 kwa siku huku wafuasi wake wakishindia Mikate na Maji?

    J.K ni Rais wa Tanzania. Mbowe ni mwenyekiti na mbunge wa Chama cha upinzani. Heshima zao hazipo level moja. Mimi naona kosa la mbowe ni kusafiri wakati wa maandamano na sio hiyob dolla 700
  7. A

    Kama sitta mbaya, wapo wapi wazuri ?

    BMK linaendelea na vikao vyake. Licha ya kundi ukawa kususia kwa madai ya kubezwa na kuburuzwa na wajumbe kutoka CCM. Baada ya kutoka nje Ukawa, wito kutoka makundi mbalimbali umetolewa wakiwataka kurejea na kutoa hoja wanazozitoa wakiwa ndani ya bunge. Ili zijadiliwe na kama zitakubaliwa basi...
  8. A

    Kama sitta mbaya, wako wapi wazuri?

    BMK linaendelea na vikao vyake, licha kundi la ukawa kususia kwa madai ya kubezwa na kuburuzwa na wajumbe kutoka CCM. Baada ya kutoka nje Ukawa, wito kutoka makundi mbalimbali umetolewa wakiwataka kurejea na kutoa hoja wanazozitoa wakiwa ndani ya bunge. Ili zijadiliwe na kama na zitakubalika
  9. A

    Nembo ya Tanganyika au ya Tanzania ?

    Bila Tanganyika Zanzibar isingekuwepo. Wapemba wangetaka uhuru. Kumbuka shein ndo mpemba wa kwanza kua rais nyie wazenji bila sisi msingemkubali. Nyie mlikua mnamtaka bilali. Kama upendi muungano nitajie mambo muhimu ambayo sisi tunawazuia kufanya. Viongozi wenu hatuwazui kuwaletea nyie...
  10. A

    Nembo ya Tanganyika au ya Tanzania ?

    Nyie wazanzibari mnataka nini? Sisi tupo milioni 45 nyie mpo milioni 3. Mna bahati nyerere alikua dictator mwenye roho nzuri. Nyie mlibidi msiwe na serikali yenu. Mlibidi zanzibar iwe koloni letu. Ukitoa taarabu na mambo ya kishoga hamna kitu chochote mnacholeta tanganyika.
  11. A

    Migiro kuwa Katibu Uhusiano wa Kimataifa CCM: Ni Demotion ama?

    kuna rumors before 2015 mkuu atampa membe uwaziri wa mambo ya ndani au uwaziri mwingine ili atafute umaarufu ambao bado hana kwa wananchi wa vijijini, ambao ndo mtaji mkubwa wa ccm. bila kufanya hivyo wanaisi itakua ngumu kwa ccm kumuuza kwa wananchi. unakumbuka 1995 baba wa taifa alizunguka...
  12. A

    Ipo wapi safu nene ya uongozi CCM?Ukubwa wote wa NEC wanakosa viongozi na mawaziri

    ninavyoelewa mimi safu nene sio tu viongozi wa juu. chama lazima kiwe na safu mpaka huko vijijini.
  13. A

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    nilijua utamtaja zitto. sioni tofauti ya miaka 6.
  14. A

    Membe: Niliponea chupuchupu

    kweli siku hizi urais umekua kama ubunge. kila mtu anautaka.
  15. A

    Migiro kuwa Katibu Uhusiano wa Kimataifa CCM: Ni Demotion ama?

    kaka kumbuka wanawake wapo tofauti na sisi wanaume. mwanamke anaweza kupata upendeleo ambao watu wakashangaa. nadhani unakumbuka mama yetu spika alivyoupata uspika. huyu nadhani anaweza kurudi wizara ya mambo ya nje. uhusiano wake na jk na mkapa unaweza kumbeba.
Back
Top Bottom